Tunatafuta goli la tatu.
Hatari sana timu ya top four kumtegemea Wilshere na Walcot imejitahidi mmeonyesha maturity leo.Tatizo ni kwamba timu inaonekana inamtegemea sana Jack Wilshere na dogo anatandaza mpira, kiasi kwamba anaweza kuumizwa wakati wowote.
Hongereni kwa kushinda 2-2!!!!!!!
Ni kweli mkuu, LFC wametoka nyuma magoli mawili pale Emirates!Kawapongeze Liverpool