Is Manone not better than this Polish ---- btn the sticks?????
Sijui Scerzny amekuwaje siku hizi!!
Hii ni dalili ya matatizo kwetu.
Santos.
From BAD to WORSE!!!!!!! SANTOS?????????
Litarudi goli vijana watabadilika
-Nafasi ya timu yetu ya Arsenal kucheza Champions League mwakani ipo mashakani.
Wenger anaagiza wachezaji wacheze mpira ambao hawajawahi kuucheza maishani mwao.
Kuna hasara kubwa itakayoikumba Arsenal ikiwa itashindwa kufuzu kucheza CL zikiwemo zile paundi milioni 16 za kufuzu tu!