Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Walcooott! anakutana na cross na anapaisha baada ya kupiga kwa kichwa.
 
Daniel Agga anamchezea vibaya Jack Wilshere na kusababisha mpira wa adhabu.
 
Sijui ni kwanini Wenger ameanza na Aaron Ramsey.

Ila goli hili ni kosa la Santos.
 
Tatizo mojawapo la Wenger ni kuondoa wachezaji walio chini ya viwango na kuwabadilisha na wale wenye ubora wa hali ya juu, hili ndilo tatizo kubwa.

Tatizo lingine ni recruitment policy yake kwamba inakumbana na wachezaji wabovu kabisa ambao wametutia hasara kama Chamakh na Squillaci kwan ibado wanendelea kulipwa huku wakiwa hawachezi (Squillaci).

Ndio maana hata Brighton juzi wamemuulizia Squillaci.

Kuna cancer pale Emirates nayo ni "WENGER" tumepigwa na amegoma kuimarisha kikosi
 
Top man Walcooooooooooooooooott anafunga goli la kusawazisha.
 
Walcott goal was Superb.... Didnt see t Coming......... Waaaaaaaooooooooooghhhhh
 
Dakika zimebakia 18 na inabidi Wenger amuingize Diaby.

Ramsey anapoteza sana mipira.
 
Back
Top Bottom