Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mkuu Bantanda mambo vipi.

Usiumize kichwa na hawa jamaa.

Arsene Wenger anataka kufanya sensational move kwa kumsajili David Villa wa Barcelona, tayari mmoja wa wawakilishi wetu yupo Barca kukamilisha taratibu.

600x402.jpg

David Villa

Kwahio ikiwa Barca watakubaliana na deal letu la zaidi kidogo ya 10m pounds, basi kama nilivyosema kwamba usajili wa Arsenal ni ndani ya masaa 48, David Villa atakuwa mshambuliaji mwingine wa Arsenal baada ya Olivier Giroud , Theo Walcot na Lucas Podolski.

Pia kuna uwezekano wa mchezaji mwingine kutangazwa ndani ya hayo masaa 48.
 
Jamaa waliokuwa na mabango ya kumkashifu Prof walikula mkong'oto wa hali ya juu baada ya mechi ya FA cup. Safi sana prof haendi kokote. Nasikia kuna watu ooops Wanoko hata nyumbani kwao hawaendi wanakesha hapa kwenye jukwaa la Gunners. Safi sana tunawanyima usingizi maana tunatisha. COYG

BTW Kronke alikuwa tayari kununua share zote za club lakini mrusi alikataa na yeye sio majority kwa hiyo aendelee kulia tu kama katoto kadogo kale ka kwenye cowshed kanaweweseka weweseka tu na kutangatanga. Henry ni legend lakini hawezi kuwaamulia majority share holders.
 
Mchezaji wa kiungo David Beckam leo anaingia uwanja wa mazoezi wa Arsenal kushiriki mazoezi na timu hiyo huku akipanga ni timu gani achezee kwa angalu mwaka mmoja.

Ni katika jitihada za timu hiyo kujiandaa na mechi nyingi ngumu na kampeni nzima ya kujaribu kunyakua moja ya vikombe vitatu.

Habari zaidi baadae.
 
Wakulu soko ndo linafungwa hivyo na babu kama kawaida yake yuko sokoni anasubiri vya kuoza either avipate kwa bei poa au vitupwe ndo aokote! So annoying, bora hata angekua hasemi kabisa kuwa atasajili.
 
It's very rare you see a gooner with a brain cell. Congratulation KKN for seeing the obvious.
 
Team News.

Thomas Vermaelen anarudi kucheza mkoba.

Mikel Arteta, Francis Coquelin na Lukasz Fabianski bado wanauguza maumivu, na Gervinho bado anacheza fainali za AFON huko South Africa.

Hivyo timu unayotarajiwa kucheza leo ni ilele timu kamili inayoundwa na Szczeny, Bakary Sagna, Kieran Gibbs, Thomas Vermaelen na Per Mertesacker, katikati kuna Aaron Ramsey au Vasiriki Diaby, Jack Wilshere na Santiago Cazorla, na mbele kuna Olivier Giroud, Theo Walcott na Lucas Podolski.

Meneja Wenger anaweza kuchagua kuanza na Diaby au Ramsey kulinda back four kutegemea na matakwa ya mpango mzima wa mchezo au "game plan".

Arsenal inatarajiwa kucheza mtindo wake uleule wa 4-3-3 na utakuwa kama inavyoonekana kwenye picha hapo chini.

Screen-shot-2013-01-30-at-16.48.34.png
 
Ugonjwa wa moyo,
 
Wakulu soko ndo linafungwa hivyo na babu kama kawaida yake yuko sokoni anasubiri vya kuoza either avipate kwa bei poa au vitupwe ndo aokote! So annoying, bora hata angekua hasemi kabisa kuwa atasajili.

"I was looking players of top top quality but i didn't find any but people forget that we have a wonderful team and we are not shot at any department..also walcott signed a new deal which was like signing a versatile player (striker and a wide player)"....asiposajili utetezi wake utakuwa kama huo mi nishamzoea
 
Arsenal team vs Liverpool: Szczesny, Sagna, Mertesacker, Vermaelen, Gibbs, Ramsey, Wilshere, Cazorla, Walcott, Podolski, Giroud
Subs: Mannone, Koscielny, Jenkinson, Santos, Diaby, Oxlade-Chamberlain, Rosicky. COYG
 
Watu washachoka na AW+Board...... Attendance ni mbovu saaana..........
 
So far Patupu..... Ila angamsajili hata Diame ningefurahi.....

Mzee Wenger anasema kwamba anatakla vijana wadogo wacheze na hataki kununua mchezaji sie na ubora unaotakiwa na matokeo yake ikawa ni kuharibu timu.

Anasema kwamba Ramsey Diaby na Wilshere ndio nguzo ya Arsenal ya baadae.

Ila anasahau kwamba Arsenal haina Defender, DM na GK na matokeo ya leo yatatoa picha kipi kifanyike.

David Villa yupo keen lakini jana alijaaliwa kupata mtoto wa tatu wa kike kwahio kuja Arsenal kwa sasa inakuwa ngumu isipokuwa wakati wa kiangazi.

Mzee mgumu sana huyu ila tunamwamini.
 
Mameneja wote inaonekana wamewaagiza wachezaji wao kucheza kwa kasi.
 
Back
Top Bottom