Baba Mkubwa
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 824
- 132
Tukale na kunywa maana leo mambo yamekuwa safiiii
Tukale na kunywa maana leo mambo yamekuwa safiiii
Who ate all the pie? ha ha haa Huddlestone pumzi juujuu kwa kumkimbiza Fabregas, naona anataka kumshika.
So far nnaweza kusema kwamba Arsenal ni moja ya best teams na inayotandaza soka la uhakika.
tatizo lingine linalotulostisha ni lack of winning mentality.vijana huwa wako relaxed sana wawe wanaongoza au wawe wamefungwa wao wapo hawana presha wala nini wanacheza tu bila kujaribu kulazimisha ushindi.Rich,
These boys have always been playing like that tangia Mr. Bean achukue kitengo, matatizo yetu huwa sijui tunaingiwaga na mdudu gani.....mara utaona ....forward umeshakuwa bubu au beki mdebwedo.....but pale kny kiungo nafikiri vijana wamekuwa consistent for years! Makosa madogo madogo ndo huigharimu sana timu!
...Clichy nae kapata 'back stress-fracture',...Ndio hii ilomuweka nje last season?
Mnakumbuka Denilson nae alipata fracture kama hiyo?
Fitness Trainer wa Klabu hii anawaumiza hawa jamaa!
Hilo sio tatizo kwani Kirean Gibbs yupo na ataanza kucheza "with immediate effect" kesho kwenye CL dhidi ya AZ Akmaar.
![]()
Bacary Sagna, Cesc Fabregas na Robin van Persie wakishangilia goli dhidi ya watani wa jadi Tottenham HotSpurs
gibbs mechi ninayo muogopa anaweza kuwa muoga ya chelsea lakini hizi nyingine yuko powa na pia anapiga krosi nzuri kushinda clichy kwa mtazamo wangu.naona sagna ka improve kidogo krosi zake mechi mbili zilizo pita,i hope ataendelea hivyo hivyo....yes buddy, hata Armand Traore yupo fit kwenye position hiyo japo AW ali opt kumchezesha Karrea Gilbert siku ile na Liverpool.
gibbs mechi ninayo muogopa anaweza kuwa muoga ya chelsea lakini hizi nyingine yuko powa na pia anapiga krosi nzuri kushinda clichy kwa mtazamo wangu.naona sagna ka improve kidogo krosi zake mechi mbili zilizo pita,i hope ataendelea hivyo hivyo.