Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
bring eboue now to help on defending.
mie nilikuwa nishaanza kushangilia maanake kawaida yake huwa ana chip pale kama carlos vela.OOOH Eduardo? wewe na kipa tu?
mie nilikuwa nishaanza kushangilia maanake kawaida yake huwa ana chip pale kama carlos vela.
nashangaa wakati mpira kaupata.huyu refa Spurs nini? khaa! faulu iko wapi ya kumpa Vermalean kadi ya njano?
Na huko kipindi cha kwanza nilifikiri kadi amezisahau nyumbani? labda yuko kwenye buku la Ferguson ama Abramovich!nashangaa wakati mpira kaupata.
hile powa mkuu game ishaisha hutaki rvp haumie sio lazima amtoe.Diaby bado yumo? anatoka RVP mkuu Wenger sikuelewi sometimes!
hile powa mkuu game ishaisha hutaki rvp haumie sio lazima amtoe.
safi sanaaaaaaaaa.yani hapa sasa unachungulia game za top 4 wengine bila presha.hapa ndio mtu unakumbuka point 2 za westham tulizotupa zile damn.
Zile tungezipata tungekuwa mbali sana mkuu...hata hivyo bado tuna game moja mkononi