Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sijui yatafika 6............................
Naona utabiri wako huenda ukawa kweli! Kwa mujibu wa staili ya hawa vijana, nahisi lipo bao alau moja! hawajui kufunga duka hawa wao ni kushambulia tu!
 
Huyu Almunia karudia maradhi yake yaleyale! Naona sasa wanapata alau la kuchafua gazeti! 4 -1 AW tia Mannone toa Almunya!
 
Kazi tumemaliza, Exihibition kama kawaida yetu tukicheza Emirates, Focus sasa Jumamosi tunajilia Wolves na kushika nafasi ya pili katika Premier league.
 
Huyu Almunia karudia maradhi yake yaleyale! Naona sasa wanapata alau la kuchafua gazeti! 4 -1 AW tia Mannone toa Almunya!

Huyu jamaa labda ana mashetani. Kuna wakati huwa anaonesha kabisa kutokuwa na moyo wa ku-compete, na goli alilofungwa kwenye hii mechi ameonesha hii tabia yake.Wala hakujigusa!

Na pia pale timu inapotakiwa kukaa na mpira kuabsorb mashambulizi ya timu pinzani utakuta ana-release mpira harakaharaka wakati timu yake inaongoza hapo. Lakini tukiongea sana ni kumuonea tu. Nimewahi kusikiliza interview zake na maelezo anayoyatoa unaona kabisa huyu mtu kichwa boga yaani IQ ya kuku.
 
Hongereni sana Arsenal kwa ushindi ule mtamu wa jana.Vijana wamefanya kazi nzuri kwa kweli
 
gooners wenzangu najiunga na nyinyi kujipongeza ushindi mzuri na naona mlifaidi kweli mechi jana.mimi sikuweza kuangalia bahati mbaya dogo alikuwa anaumwa na ikabidi nimpeleke emergency room na amelazwa mungu akijalia kesho atatolewa.anaendelea vizuri nashukuru mungu.nategemea nikitulia nitatafuta nafasi kuirudia hio game.
 
nilikuwa naliwaza jukwaa hapa nikasema huko najua watu furaha mtindo mmoja ha ha ha.na kweli nimesoma comments zenu naona mlienjoy sana game.
 
gooners wenzangu najiunga na nyinyi kujipongeza ushindi mzuri na naona mlifaidi kweli mechi jana.mimi sikuweza kuangalia bahati mbaya dogo alikuwa anaumwa na ikabidi nimpeleke emergency room na amelazwa mungu akijalia kesho atatolewa.anaendelea vizuri nashukuru mungu.nategemea nikitulia nitatafuta nafasi kuirudia hio game.

Pole sana mzee Wenger, Vp dogo anaendeleaje?
 
Wakuu leo mbona hakuna picha za mechi ya jana? Mtu atusaidie jamani ili tukapambe ma-ghetto!
 
Cesc-Fabregas-Arsenal-Premier-League-PA2_2378922.jpg

Cesc-Fabregas-Tom-Huddlestone-Arsenal-Tottenh_2378904.jpg

Ma pics kama haya namaanisha.
 
gooners wenzangu najiunga na nyinyi kujipongeza ushindi mzuri na naona mlifaidi kweli mechi jana.mimi sikuweza kuangalia bahati mbaya dogo alikuwa anaumwa na ikabidi nimpeleke emergency room na amelazwa mungu akijalia kesho atatolewa.anaendelea vizuri nashukuru mungu.nategemea nikitulia nitatafuta nafasi kuirudia hio game.

Kaka pole sana kwa kuuguza,nafurahi kusikia kwamba bwana mdogo anaendelea vizuri.Vijana jana wamecheza vizuri kwa kweli,hata bwana mdogo Gibbs alicheza vizuri sana na alikuwa anapanda na kutoa krosi vizuri,hata Nasri naye kaanza vizuri...Alex Song ni habari nyingine kwa sasa,katulia sana tofauti na kipindi cha nyuma.Vijana wanatia matumaini kwa kweli,tuombe tu Mungu hii November iishe salama(na kipindi kingine kilichobaki) bila majeruhi..Pa1 wakuu
 
Captain, hizo siyo za jana...hizo ni za weekend iliyopita kati ya Arsenal na Spurs....! Mkuu AB Tch....! naona katuchunia kuweka za jana!

Sorry wakubwa kwa kuwa-mislead, I was trying to remind mtaalamu atuwekee picha za jana.

Ila wakubwa I prefer Eboue to Sagna, due to his ability to penetrate through the opposition wall. I am glad jana alikuwepo.
 
Back
Top Bottom