Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Safi sana,naona tumezinduka dakika 5 za mwisho za 1st half..Fabregas ni habari nyingine kabisa
 
Diaby inabidi abadilike 2nd half,hakuna lolote analofanya,anakimbiakimbia tu uwanjani
 
Ni mapumziko, kwa kweli tulistahili tuwe hata 4-0 mpka dakika hii, Spurs hawakuonyesha ukali wowote wana-deffend too deep na counter-attack za nadra, labda kwa vile tumeshawaowa watalazimika kuja mbele sasa, natumai haitokua habari ileile ya W/ham na AZ Alkmaar!
 
Diaby inabidi abadilike 2nd half,hakuna lolote analofanya,anakimbiakimbia tu uwanjani
Kwa kweli Diaby ni liability tatizo Denilson bado ni majeruhi na Ramsey bado hajakomaa, labda AW atamtoa Diaby na kumuingiza kati ya Ramsey/ Nasri au Eboue.
 
Ila hii ya leo ni kali wakuu yani ndani ya dk moja(dk ya 43) magoli mawili!!!....doh!!!!!!
 
Kwa kweli Diaby ni liability tatizo Denilson bado ni majeruhi na Ramsey bado hajakomaa, labda AW atamtoa Diaby na kumuingiza kati ya Ramsey/ Nasri au Eboue.
wenger ana mapenzi ya ajabu na diaby kwahio nivigumu sana kumpiga bench.ramsey yuko ready kuchukua namba ya diaby
 
dua zenu wakuu msisahau manake simnakumbuka against westham inabidi wasituangushe leo.

Nilitaka kumuuliza kweli au Balantanda kuwa mbona kocha haupo? sikumbuki kama ulicheki ile ya craling cup.....winga mbu nae simuoni!
Ngoja tusubilie....wanaingia sasa
 
wenger ana mapenzi ya ajabu na diaby kwahio nivigumu sana kumpiga bench.ramsey yuko ready kuchukua namba ya diaby
Hata mimi nahisi, ukweli huyu jamaa ana talent ila siku akiwa bomu anakuwa bomu kweli kama leo.
 
hatari Gallas ameunawa kwenye mstari wa boksi free kick
 
Nilitaka kumuuliza kweli au Balantanda kuwa mbona kocha haupo? sikumbuki kama ulicheki ile ya craling cup.....winga mbu nae simuoni!
Ngoja tusubilie....wanaingia sasa
nipo mkuu vijana kidogo walikuwa wansuasua kwahio ilibidi nitulie kwanza nisome game lol.
 
hii kiboko watu mnatakiwa kuendelea kucheza mpaka msikie filimbi ha ha ha comon gunners we can do it.
 
Back
Top Bottom