Konya
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 921
- 118
Poleni sana ndio mpira ila gibbs na diaby wameondoka na ushindi wenu..
gibbs kama unamuonea mkuu ungemueka giroud hapo ingependeza zaidi..poor arsenal wamestahili kufungwa
Poleni sana ndio mpira ila gibbs na diaby wameondoka na ushindi wenu..
Ni kawaida kwenye mechi ngumu kupoteza ikiwa mazingira na uchezaji hayakukamilika.
Timu yetu leo imecheza kipindi cha pili tu. Kipindi cha kwanza sikuona Diaby na Coquelin wakimiliki mipira pale katikati na kuwaachia Osca,Mata na Ramirez wakitawala mchezo.
Hongera kwa Chelsea lakini Arsenal kwa sasa tumepoteza mechi tatu za ugenini na mbili nyumbani.
Jumatano tunacheza mechi yetu ya kiporo na West Ham na itakuwa ni Emirates.
First goal was a foul. Ramires tackled Coquelin there. Second goal?? I really think that was a dive, if you look at it closely you can see Ramires slipped before Szczesny. It's true the ref really played part in these goals but it will never change the fact we were played bad 1st half

Silent gun salute...gooners got silencer....muffler...muffled, muted...subdued...empty Gooners....
Wakuu wa Gunners kama mlivyoona mechi goli la kwanza refa kaminya adhabu kutoka kwenye half ya Chelsick na goli la pili jamaa amefanya bonge la dive, ilibidi apewe red card. Vijana lazima wakomae na hawa watoa rushwa, tatizo lingine ni hii vita anayopigwa prof lakini kila wanapozidi kutoa mpunga ndio wanajiharibia. Time will tell.
Kumbe dawa ninazowapa zinafanya kazi, Chelsick walitoa mpunga mapema leo na yule kachero wao alikuwa poa nasikia mmehamia huku karibuni sana lakini majuto ni mjukuu tu. khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee bila mpunga leo Beni alikuwa hana kazi.
Dah kusema kweli asenal mnatia huruma sana.