Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Bwana salito, unasikia excuse zao!??
Khekhekhekhe eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee......

Na nyie katoeni mpunga...ooopsss...nlisahau Asenali ni timu ya wachaga wa kizungu..lol...mnakufa njaa na hela mfukoni...khekhekhekheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ( courtesy of: Wacha1 )

Tatizo lao ndio hilo,midomo inaongea kishenzi halafu hawana utendaji kazi.
 
Wakulu mpo? naona tuna wageni wetu wengi tu.

Baada ya game la Jumapili Wenger ameamua kumpeleka Francis Coquelin kwenda kuchezea RealBetis kwa mkopo ili akapate uzoefu.

Hiyo ni dalili ingine kwamba kunasajiliwa mchezaji wa kiungo hivi karibuni miwshoni mwa wiki hii au mwanzo wa wiki ijayo au ndani ya masaa 48 kabla ya dirisha la usajili halijafungwa.

Wahusika wamegundua kwamba baada ya kumuuza Alex Song timu haina tena DM na Diaby bado hana umakini uwanjani na hatabiriki.

Pia Mikael Arteta ambae ndie aliambiwa atacheza kama DM nae ameumia na hatarudi hadi baada ya wiki hivyo kufanya timu kuwa haina DM mwingine.

Tuna Emanuel Frimpong ambae nae ameshindwa kuonyesha makali yake kama DM.

Hivyo tutegemee kwamba Mohamed Diame kutoka West Ham, anaweza kusajiliwa na Arsenal kama atakubali deal la 60000k au 70000k kwa wiki.

Pia Victor Wanyama nae amezungumziwa ingawa itakuwa ngumu kuzingatia kwamba yeye nae anacheza CL na Celtic, na Yohann Gourcuff ambae atakuja kwa mkopo.

I like Diame he is good, but that is the problem. We need the BEST players, we need NOW not players who could potentially be WORLD CLASS in the FUTURE. You know what happens to them after they become WORLD CLASS? Fabregas, Van Persie.

Ingekuwa uwezo wangu ningemnunua Fellaini tu (he plays DM/CM too by the way, he has only been pushed foward this season). Nasikia pia kuna bid ya 30m pounds to an unnamed player (Mario Gotze? - Has a 30m pound release clause!). Sijui nani but I hope ni striker, because Giroud needs that challenge now.

By the way, tunacheza na Westham kesho (wenye Diame wao). Arteta kaumia, Coquelin kaumia. Amebaki Diaby, Ramsey na Wishere au pengine na Frimpong. COYG
 
Hahahahaaa! Poleni sana washabiki wa Asenal. Hizo (see red font) ndio aina ya keywords bodi yenu pamoja na Wenger wanataka ziendelee kuwa vichwani kwenu. Mtaendelea kujiaminisha kwamba jamaa watasajili lakini mwisho wa siku mtaishia KUSIKIA tu, NO ACTION. Prof flip-flop yuko hapo kwa kazi hiyo tu, kuwafanya muendelee kuwa kwenye DELUSION. Ikifika match day mnakamuliwa £62, mkitoka mnaishia pub kupiga soga tena la transfer "targets" mlizosikia na siku zinapita, mara dirisha la usajili linafungwa BANG! Anatokea Wenger kwenye media na kusema, "kulikuwa hakuna quality ya kumzidi Giroud, SquiLlaci na Gervinho kwenye transfer window, hivyo hatukuona sababu ya kununua. After all, this is one of my best teams of all time, I can see them winning a 4th place title this season". Sorry Monsieur Wenger, your best team seems to be 22 points behind leader! Anyway, keep it up, we like it here at Stamford Bridge.
 
Arsenal's crowded fixture list

  • 13 Jan: Man City (h) Premier League - 0 point
  • 16 Jan: Swansea (h) FA Cup - Got knocked out by Michu (got Michued)
  • 20 Jan: Chelsea (a) Premier League - 0 point
  • 23 Jan: West Ham (h) Premier League - 1 point (if lucky)
  • 26/27 Jan: Brighton (a) FA Cup fourth round * - Won't play
  • 30 Jan: Liverpool (h) Premier League - 1 point (if lucky)
  • 2 Feb: Stoke (a) Premier League - 0 point (got Stoked
Naendelea ku-update

  • 13 Jan: Man City (h) Premier League - 0 point
  • 16 Jan: Swansea (h) FA Cup - knock out Michu(win)
  • 20 Jan: Chelsea (a) Premier League - 0 point
 
Hahahahaaa! Poleni sana washabiki wa Asenal. Hizo (see red font) ndio aina ya keywords bodi yenu pamoja na Wenger wanataka ziendelee kuwa vichwani kwenu. Mtaendelea kujiaminisha kwamba jamaa watasajili lakini mwisho wa siku mtaishia KUSIKIA tu, NO ACTION. Prof flip-flop yuko hapo kwa kazi hiyo tu, kuwafanya muendelee kuwa kwenye DELUSION. Ikifika match day mnakamuliwa £62, mkitoka mnaishia pub kupiga soga tena la transfer "targets" mlizosikia na siku zinapita, mara dirisha la usajili linafungwa BANG! Anatokea Wenger kwenye media na kusema, "kulikuwa hakuna quality ya kumzidi Giroud, SquiLlaci na Gervinho kwenye transfer window, hivyo hatukuona sababu ya kununua. After all, this is one of my best teams of all time, I can see them winning a 4th place title this season". Sorry Monsieur Wenger, your best team seems to be 22 points behind leader! Anyway, keep it up, we like it here at Stamford Bridge.

Wenger is a serious cancer for Arsenal's pitch success! Lets be realistic and face it...we all gunnerz worldwide become deluded because of Who? Sturbon old frenchman...

Ukitazama jinsi Spurs walivyokomaa na Manure jumapili unabaki na maswali mengi hivi timu yetu inakosa nini? Belief,winning mentality,fighting spirit, world class players au kocha mbinu za modern game zimeisha?

Sijawahi kuwa na wasiwasi na kocha wetu ila sasa katufikisha pabaya aisee! Wachezaji wetu wame relax sana uwanjani kama hakuna lolote litakalotokea tufungwe au tushinde!

Yangu macho Arsene anajitengenezea jeneza la kaburi lake na hasa pale washabiki watakapoona kulipa £62 kwa kutizama vipigo ni upuuzi wakagomea game na hapo ndo watabadilika hawa mabepari shwaini...

Ukweli unauma ila utasemwa tu na tuukubali pale hatuna AMBITIONS zozote zaidi ya kusindikiza washindani
 
Ukitaka kujua Wenger kaishia kuwa msanii angalia vizuri statements zake, mara nyingi zinakwenda na upepo wa matokeo. Mkishinda mechi mbili mfululizo atasema kikosi ni imara sana na haoni sababu ya kuongeza wachezaji. Mkichezea vipigo na washabiki wakianza kuzomea, utasikia anasema lengo la timu ni kumaliza nafasi ya 4, hii ni kukubali kwamba timu ni mbovu lakini hawezi kusema moja kwa moja. Ndio maana wenye akili hawashangai wanapoona Metersacker aliposema wachezaji wa Arsenal walikuwa wanawaogopa Man City, na Walcotte alipsema walikuwa hawana confidence mechi ya Chelsea....hii inaanzia pale kocha wako mwenyewe anapokubali kuwa wewe sio mzuri kuweza kugombea ubingwa, nafasi yako zaidi ni ya 4 ndio uwezo wako unaishia hapo....sasa unategemea kweli hawa wachezaji wafanye maajabu wakati kocha mwenyewe kashawaponda? Timu yenu sio nzuri sana, lakini Wenger pia hana ujuzi wa kumotivate wachezaji, yuko kuchukua tu hizo £7m na kula bata mpaka mtakaposhtuka anapanda zake Eurostar anaishia home.
 
Prof hana wasi wasi na mafanikio yake yanaonekana kama hujui jaribu kuangalia kwa ukaribu jinsi anavyoendesha sera ambazo kila timu inatamani kuwa nazo. Fact hakuna timu hata moja ambayo haitamani kumchukua prof kuwa kocha wake. Wacha hawa wanoko wapige tarumbeta lakini Gunners wako makini na work at hand. Ushindi wa Chelsick ni wa kununua na huwezi kujua nini kiko nyuma ya pazia labda kama na wewe unatumia darubini ... .... .... .. COYG.

BTW Chelsick wameshapita makocha kama 10 wamemkuta le prof na watamwacha khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee maana katulia kama maji mtungini wao wanawewesekaweweseka tu.
 
article-2265180-1710FB3B000005DC-561_634x347.jpg

Prof kajichimbia hapa Colney wanoko wanaweweseka .... ..

article-2265180-1710FB4F000005DC-590_634x392.jpg

Kila timu inaiga mbinu za Prof. ... ...

Ukitaka kujua Wenger kaishia kuwa msanii angalia vizuri statements zake, mara nyingi zinakwenda na upepo wa matokeo. Mkishinda mechi mbili mfululizo atasema kikosi ni imara sana na haoni sababu ya kuongeza wachezaji. Mkichezea vipigo na washabiki wakianza kuzomea, utasikia anasema lengo la timu ni kumaliza nafasi ya 4, hii ni kukubali kwamba timu ni mbovu lakini hawezi kusema moja kwa moja. Ndio maana wenye akili hawashangai wanapoona Metersacker aliposema wachezaji wa Arsenal walikuwa wanawaogopa Man City, na Walcotte alipsema walikuwa hawana confidence mechi ya Chelsea....hii inaanzia pale kocha wako mwenyewe anapokubali kuwa wewe sio mzuri kuweza kugombea ubingwa, nafasi yako zaidi ni ya 4 ndio uwezo wako unaishia hapo....sasa unategemea kweli hawa wachezaji wafanye maajabu wakati kocha mwenyewe kashawaponda? Timu yenu sio nzuri sana, lakini Wenger pia hana ujuzi wa kumotivate wachezaji, yuko kuchukua tu hizo £7m na kula bata mpaka mtakaposhtuka anapanda zake Eurostar anaishia home.

Unafikiri sijui kama anasema uongo? nadhani anajidanganya mwenyewe nishawahi sema hapa kawa kama Politician flani hivi anasema hivi alafu hafanyi nikikumbuka kamnunua Gilioud na Podoski kisha akasema I'll add one or two players then Song na RVP wakauzwa!!!

Kwa kweli kumotivate wachezaji na kuwafanya wapigane hana huo UJUZI ila mwisho wake wanao mashabiki siku wakiamua ku "boycott" na hata akimaliza nje ya top 4 maneno yatamuishia na amekiri kaanza "kuogopa"....

Nimewahi sema kuwa man Utd wao na Arsenal tofauti kubwa ni safu ya Ushambuliaji na Kocha kuwa na njaa ya mafanikio....ndo maana Manure wanakaza game zao zote si mchezo kucheza "comebacks" kama 11 kwenye season moja

mashabiki waliokuwa wanaimba pale villa park "you don't know what you are doing" walikuwa sahihi...
 
Kocha wangu hata simwelewi anataka mchezaji gani. Ba tumemkosa, Yanga-Mbiwa tumemkosa, M'villa tumemkosa. We could have gotten all those players at a bargain and match their wages. But sijui anadelay nini mpaka wanachukuliwa..
 
kocha wangu hata simwelewi anataka mchezaji gani. Ba tumemkosa, yanga-mbiwa tumemkosa, m'villa tumemkosa. We could have gotten all those players at a bargain and match their wages. But sijui anadelay nini mpaka wanachukuliwa..

mkuu huyu mzee huwa anasubiri wale waliokosa timu ndio anasajili!! Sidhani kama ana malengo yoyte ndani ya hii timu!!
 
Arsenal team: Szczesny, Sagna, Mertesacker, Vermaelen, Gibbs, Ramsey, Wilshere, Cazorla, Walcott, Podolski, Giroud. COYG
 
Back
Top Bottom