Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

yaani huyu Ba angekua ndo kazipa dk 80 za torres angeshacheka na nyavu zaidi ya mara moja aisee
 
Poleni sana watan zangu...naona dk za mwisho bluz walikua wanataman mpira uishe haraka.
 
Kipindi cha pili tumecheza poa girold ame waste chances Nyingi sana...
 
Poleni sana ndio mpira ila gibbs na diaby wameondoka na ushindi wenu..
 
yuko wapi dadake harusi aje apa tuhangaike naye...aje hapaaa...oh oh...
 
Poleni sana Gunners wenzangu..........Ni timu yetu inabdi tuendelee kuipenda...


Once a Gunner, Always a Gunner...........

Arsenal : Together We Stand

Proud to be a Gunner.......

haya mkuu tumekusikia ndio futbol hiyo..
 
dada huyu dada huyo ameolewa...mara ya kwanza aliolewa kwao akaimbia leo tumemrudisha nyumbani ni mke wetu halali jamani...
 
Ni kawaida kwenye mechi ngumu kupoteza ikiwa mazingira na uchezaji hayakukamilika.

Timu yetu leo imecheza kipindi cha pili tu. Kipindi cha kwanza sikuona Diaby na Coquelin wakimiliki mipira pale katikati na kuwaachia Osca,Mata na Ramirez wakitawala mchezo.

Hongera kwa Chelsea lakini Arsenal kwa sasa tumepoteza mechi tatu za ugenini na mbili nyumbani.

Jumatano tunacheza mechi yetu ya kiporo na West Ham na itakuwa ni Emirates.
 
Kipindi cha pili tumecheza poa girold ame waste chances Nyingi sana...
Huyu jamaa hakua na umuhimu wa kumsajili. Yeye na Podolski wanacheza style moja tofauti ni kwamba Podolski anamzidi nguvu.

Wenger angeleta striker mwenye style nyingine ambaye anaweza kumiliki mpira na kufanya mashambulizi kwa vile alikua tayari kashamnunua Podolski.
 
Back
Top Bottom