Viper
JF-Expert Member
- Dec 21, 2007
- 3,666
- 1,406
[h=5]Kikosi cha Arsenal. Szczesny, Sagna, Vermaelen, Koscielny, Gibbs, Diaby, Wilshere, Cazorla, Chamberlain, Podolski, Walcott.[/h]
Arteta kaumia naona hayupo hata sub

Saa moja...
1st eleven goners imekaaje
Arteta kaumia naona hayupo hata sub
Mkuu hii thread last page iko mbali sana kuna baadhi wanahngaika kufika,kuna thread nyingine mpya tumeianzisha huko mpya special kwa ajili ya mechi ya leo tu,ili tujuzane matokeo humo ndani.

Kwa hiyo ndio maana kamuanzisha Diaby.......huyu jamaa simuamini kabisa, na huyo Sagna naye mmmh!! Bora angeanza Jekinson.
ni halali lakini red card
Baba kimeshakula kwenu...khe khe kheeeee....
Dzeko kakosa penalt lakini leo asipofunga mtaniambia..khe khe kheeeeeeeeeeeeee
Tulia wewe
hakijala kwa mtu, licha tupo pungufu tutawafunga kwa taabu sana hahahaaah!!Baba kimeshakula kwenu...khe khe kheeeee....