Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,266
Yaani kuwafunga kids wa Liverpool mnashangilia utadhani mmechukua Champions league
Yaani kuwafunga kids wa Liverpool mnashangilia utadhani mmechukua Champions league
Yaani kuwafunga kids wa Liverpool mnashangilia utadhani mmechukua Champions league
Hivi Mikael Silvestre nae ni kids?Inaoneka we ni mnazi usiefatilia kabisa soka kwani hiyo Gunnerz iliyoifunga hao unawaita kids uliwaona? au ulivosikia Sanchez, Eastmond, Randall, Gibbs, Fabianski, Merida ukajua ni wakubwa!!!!!!!!! au ulivosikia Arsenal inacheza ukavuta picha ukafananisha na timu ya Man iliyocheza juzi au Chelsea jana? Basi ni kuwa kwa wastani wa umri Arsenal ndio inaongoza kuwa na kids tena kwenye mashindano yote inayoshiriki.
Man U bana kufungwa wawafunge Liverpool maneno kwetu
Hivi Mikael Silvestre nae ni kids?
Hivi Mikael Silvestre nae ni kids?
Balantanda Liverpool kila mwaka kwenye makombe ya mbuzi lazima muwafunge ,kuna season mliwafunga 5 enzi za kina Baptista.Kuhusu masuala ya mume hata nyie ni mmojawapo ya wake zetu.Mbona huwazungumzii Dick Kuyt,Andriy Voronin,Martin Skrtel,David Ngog(mume wenu Man Utd huyu),Alberto Aquilani,Emilliano Insua,Ryan Babel na Yossi Benayoun kama nao ni kids ama?,au kwa sababu walikosekana Reina,Agger,Gerlad naTorres ndo wawaita kids..Yaani Belo wewe ukiona Arsenal wameshinda unaumia sana aisee,maana jinsi unavyoweweseka mpaka Raha
Spurs kitu bwana, kichapo kama kawaida.Balantanda Liverpool kila mwaka kwenye makombe ya mbuzi lazima muwafunge ,kuna season mliwafunga 5 enzi za kina Baptista.Kuhusu masuala ya mume hata nyie ni mmojawapo ya wake zetu.
Ngoja tusubiri jumamosi Arsenal VS Spurs
Balantanda Liverpool kila mwaka kwenye makombe ya mbuzi lazima muwafunge ,kuna season mliwafunga 5 enzi za kina Baptista.Kuhusu masuala ya mume hata nyie ni mmojawapo ya wake zetu.
Ngoja tusubiri jumamosi Arsenal VS Spurs
Baba Mkubwa, huyu mzee mwachie na mind game zake, kama experience hiki kikosi ni karibu msimu wa 4 sasa kiko pamoja ukiachia Vermalean na pengine Arshavin hawa watoto tayari wana uzoefu wa kutosha.