Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

AljuniorTz hats off to you man,
Come January African Cups of Nations...
Drogba, Kalou, Essien, Obi Mikel safarini...😀

Anyway,...
Namuonea huruma sana dogo Vito Mannone...
'Kismeti' kishaota majani, Almunia na Fabianski
wanarudi kwenye nafasi zao...!

Janja ya Chelsea ni Wigan na Aston Villa.
 
18 mins Arsenal 1- liverpool 0 fantastic finish from young Fran Merida
 
a good one indeed!!

na stream yangu imepotea kabisa, any good live-stream out there?
 
a good one indeed!!

na stream yangu imepotea kabisa, any good live-stream out there?
Tumesharudishiwa mkuu, pole kwa usumbufu wa streaming,mimi naangalia live from skysports,labda jaribu just-in tv kule.
 
It's half time, inatia moyo na inafurahisha kuona vijana wamecheza vizuri, ila kwikwi iko katika final third, tumetengeneza nafasi zaidi ya Liverpool ila vijana wamekosa uzoefu katika kuweka mpira wavuni, bado nina tamaa tutaibuka washindi katika hii mechi.
 
hiyo ni bomba, itabidi wasiruhusu lirudi...siku chache hizi tunaruhusu opponents kusawazisha tunapowatangulia.
 
Dakika ya 74, naona Liverpool wanaingiza big guns ! Benayoun na Aqualani wameingia Arsenal nao wamefanya mabadiliko Randall na Sanches wameingia Bendtner na Craig Eastmond wamepumzika
 
dakika 86 Arsenal Fran Merida off ameingia yosso mwengine Francis Coquelin
 
Mpira umekwisha Arsenal wameshinda 2-1 mechi nzuri kwa ujumla Yosso wamejitahidi
 
Yaani kuwafunga kids wa Liverpool mnashangilia utadhani mmechukua Champions league
 
Yaani kuwafunga kids wa Liverpool mnashangilia utadhani mmechukua Champions league
Katika vikombe vyote vinavyoshindaniwa katika mpira wa miguu hakuna kombe gumu kama ligi kuu;timu inacheza mechi 38;wakati makombe mengine is a matter of match fitness within a month that's all Jose Mourinho alikwisha thibitisha katika hilo nani anabisha?
 
Yaani kuwafunga kids wa Liverpool mnashangilia utadhani mmechukua Champions league

Inaoneka we ni mnazi usiefatilia kabisa soka kwani hiyo Gunnerz iliyoifunga hao unawaita kids uliwaona? au ulivosikia Sanchez, Eastmond, Randall, Gibbs, Fabianski, Merida ukajua ni wakubwa!!!!!!!!! au ulivosikia Arsenal inacheza ukavuta picha ukafananisha na timu ya Man iliyocheza juzi au Chelsea jana? Basi ni kuwa kwa wastani wa umri Arsenal ndio inaongoza kuwa na kids tena kwenye mashindano yote inayoshiriki.
Man U bana kufungwa wawafunge Liverpool maneno kwetu
 
Back
Top Bottom