Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Waje Emirates sasa, wakuu wa Gunners hongereni sana hii ndio thread ambayo ipo Live wakati wa gemu siyo za kubebwa na mbeleko hata Invisibles wanazibeba. COYG .... ... next Sunday Mancs ndet upo?

244527hp2.jpg

Blessed week from Adams!!!
 
''Michael Laudrup, the Swansea manager, commented on the subject before having the benefit of video replays. He said: "My first reaction was that it should have been a penalty but I'll have to see it again before I know for sure. My overall feeling was that it was a fair result."

Tukibaeleza kuna harufu ya brown envelopes wanachema khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeee

Mzee wa kulialia mbona unaonyesha utupu wako?! Amekwambia initial reaction alifikiri penalty, lakini hajaangalia mara ya pili....na mara ya pili ina maana video replay ambayo iliconfirm kwamba Ramsey alijigonga mwenyewe....utalia sana mwaka huu, another trophyless season coming at the Emirates graveyard.
 
Oh noooo Peas of ants dont hurt him that much...there is a trophy for fourth position in the EPL..ts the one they r aiming at!!!! Khe khek khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.........
 
Kama thread ya Chelsea ndo imedoda kabisa........Wao kutwa kucha wao humu, bandiko lao wanalitelekeza........

Juzi wamechawa na Queens hakuna Update hata moja toka kwa shabiki wa Chelsea.........Ingekuwa ni Arsenal ndo imechawa na Queens ungeona jinsi wanavyoosha vinywa vyao haa...............WANAFIKI

Go back there and speak again!!!!
Lol..kumbe kuna kuwaga na spies kule kwetu eeh!???
 
Oh noooo Peas of ants dont hurt him that much...there is a trophy for fourth position in the EPL..ts the one they r aiming at!!!! Khe khek khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.........

Ooops! Sorry mate! I've forgotten about 4th place title, they are really good at it....hahahhaaaaa!
 
Ooops! Sorry mate! I've forgotten about 4th place title, they are really good at it....hahahhaaaaa!

gun__1357546958_wenger_swanseaa.jpg

The trophy winner...seven years in a row..always taking FOURTH POSITION CUP!!! khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
.... .. unaonyesha utupu wako?! Amekwambia initial reaction alifikiri penalty, lakini hajaangalia mara ya pili....na mara ya pili ina maana video replay ambayo iliconfirm kwamba Ramsey alijigonga mwenyewe....utalia sana mwaka huu, another trophyless season coming at the Emirates graveyard.

Kwani aliyekwambia football I mean soccer inachezwa kama cricket ..... ...... ... umefufuka lini? Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee chacha Benitez mnamfukuza lini? Mnaye tu na hamuwezi mfanya lolote maana Abraham kawasokomeza kweli kweli na hamuwezi litoa hadi akubali menyewe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

:biggrin1: yaani nyie gooners mnanichekesha kweli...hata matokeo ya timu yenu hamjui...jus a bunch of fake fans you are....

Lakini wasiojua matokeo ni bora kuliko wanaowashadidia mashoga, maana wanashabikia kile wasichokijua ... ... khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Oh noooo Peas of ants dont hurt him that much...there is a trophy for fourth position in the EPL..ts the one they r aiming at!!!! Khe khek khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.........

Tukumbushe basi mwaka jana kwenye EPL mlishika nafasi ya ngapi? Hamuwezi kumwelewa prof nyie, mnawaelewa wale waliogushi vyeti au kupewa vya bandia au kununuliwa kama mafioso . ... .... ... ... mlikimbia umande nini?
 
Kwani aliyekwambia football I mean soccer inachezwa kama cricket ..... ...... ... umefufuka lini? Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee chacha Benitez mnamfukuza lini? Mnaye tu na hamuwezi mfanya lolote maana Abraham kawasokomeza kweli kweli na hamuwezi litoa hadi akubali menyewe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Kilio cha samaki, machozi yanakwenda na maji. Mwaka huu utalia sana lakini hakuna atakayekujali.
 
Tukumbushe basi mwaka jana kwenye EPL mlishika nafasi ya ngapi? Hamuwezi kumwelewa prof nyie, mnawaelewa wale waliogushi vyeti au kupewa vya bandia au kununuliwa kama mafioso . ... .... ... ... mlikimbia umande nini?

We are not after positions man...iyo ndo tofauti ya CHELSEA na Ass ANAL...khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee......we going for the trophy man..tukilikosa tumelikosa hatujitetei na kumaliza position ya tatu afu mnamuuza your greatest mercenarry to your enemy!!! khe khe kheeeeeeeeeeee
 
[h=2]Hapa vipi wakuu tutatoka na point ngapi?

Arsenal's crowded fixture list[/h]
  • 13 Jan: Man City (h) Premier League
  • 16 Jan: Swansea (h) FA Cup
  • 20 Jan: Chelsea (a) Premier League
  • 23 Jan: West Ham (h) Premier League
  • 26/27 Jan: Brighton (a) FA Cup fourth round *
  • 30 Jan: Liverpool (h) Premier League
  • 2 Feb: Stoke (a) Premier League
* Dependent on winning Swansea replay
 
Tukikaza tutapata hata zote.....ila tatizo timu haiko kwenye potential nzuri ya ushindani......tunahitaji usajili wa DM na CF (before january transfer window closed).
 
Hapa vipi wakuu tutatoka na point ngapi?

Arsenal's crowded fixture list

  • 13 Jan: Man City (h) Premier League
  • 16 Jan: Swansea (h) FA Cup
  • 20 Jan: Chelsea (a) Premier League
  • 23 Jan: West Ham (h) Premier League
  • 26/27 Jan: Brighton (a) FA Cup fourth round *
  • 30 Jan: Liverpool (h) Premier League
  • 2 Feb: Stoke (a) Premier League
* Dependent on winning Swansea replay

Hapo ni kupigwa kwa style mbalimbali
 
We are not after positions man...iyo ndo tofauti ya CHELSEA na Ass ANAL...khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee......we going for the trophy man..tukilikosa tumelikosa hatujitetei na kumaliza position ya tatu afu mnamuuza your greatest mercenarry to your enemy!!! khe khe kheeeeeeeeeeee

Hawezi kukuelewa mbwiga huyo kwa sababu malengo yetu ni tofauti kabisa na wao. Mwanzoni mwa msimu Chelsea wanaweka malengo ya kutwaa vikombe wakati Arsenal wanaweka malengo ya kumaliza wa nne....We live in two different planets.
 
[h=2]Hapa vipi wakuu tutatoka na point ngapi?

Arsenal's crowded fixture list[/h]
  • 13 Jan: Man City (h) Premier League - 0 point
  • 16 Jan: Swansea (h) FA Cup - Got knocked out by Michu (got Michued)
  • 20 Jan: Chelsea (a) Premier League - 0 point
  • 23 Jan: West Ham (h) Premier League - 1 point (if lucky)
  • 26/27 Jan: Brighton (a) FA Cup fourth round * - Won't play
  • 30 Jan: Liverpool (h) Premier League - 1 point (if lucky)
  • 2 Feb: Stoke (a) Premier League - 0 point (got Stoked)
* Dependent on winning Swansea replay

Most likely 2 points if you're very lucky (see red font).
 
  • 13 Jan: Man City (h) Premier League - 0 point (1 - 4)
  • 16 Jan: Swansea (h) FA Cup - Got knocked out by Michu (got Michued) (0 - 2)
  • 20 Jan: Chelsea (a) Premier League - 0 point (5 - 0)
  • 23 Jan: West Ham (h) Premier League - 1 point (if lucky) (0 - 0)
  • 26/27 Jan: Brighton (a) FA Cup fourth round * - Won't play
  • 30 Jan: Liverpool (h) Premier League - 1 point (if lucky) (1 - 1) Liverpool goal by: D. Sturridge
  • 2 Feb: Stoke (a) Premier League - 0 point (got Stoked) (1 - 0)

And that's my prediction..blue & bold
 
Its going to be more than 3 points since we are sure of winning against Abramovich Football Club.

Second position right??! Yes you will surely get that....khe khe kheeeeeeee.....
Ask arsene wenger huwa hataki kuchukua first position.
 
Back
Top Bottom