Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

masikini gooners mkiwa emerate vaeni jezi zingine tofauti na hizi za droo na zile za mbili bila..
 
Waje Emirates sasa, wakuu wa Gunners hongereni sana hii ndio thread ambayo ipo Live wakati wa gemu siyo za kubebwa na mbeleko hata Invisibles wanazibeba. COYG .... ... next Sunday Mancs ndet upo?
 
Bora 1-1 pamoja na kwamba tumewapatia gori la pili kirahisi. Ni furaha kwa vile wengine tutapata nafasi ya kuiona mechi tena
 
Waje Emirates sasa, wakuu wa Gunners hongereni sana hii ndio thread ambayo ipo Live wakati wa gemu siyo za kubebwa na mbeleko hata Invisibles wanazibeba. COYG .... ... next Sunday Mancs ndet upo?

Kama thread ya Chelsea ndo imedoda kabisa........Wao kutwa kucha wao humu, bandiko lao wanalitelekeza........

Juzi wamechawa na Queens hakuna Update hata moja toka kwa shabiki wa Chelsea.........Ingekuwa ni Arsenal ndo imechawa na Queens ungeona jinsi wanavyoosha vinywa vyao haa...............WANAFIKI
 
Mshindi wa Emirates atacheza na Brighton away ... .... ...
Webb atakuwa refa wa mechi ya marudiano ... ... khe khe khe kheeeeeeeeeeee
 
Contact in the box no penalty ... .... ... .... Brown envelopes ... ...

''Michael Laudrup, the Swansea manager, commented on the subject before having the benefit of video replays. He said: "My first reaction was that it should have been a penalty but I'll have to see it again before I know for sure. My overall feeling was that it was a fair result."

Tukibaeleza kuna harufu ya brown envelopes wanachema khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Just tetesi,MAPOU-YANGA MBIWA tayari ndani ya Emirates,kizunguzungu mtatukoma,hakuna uchochoro hapa!
 
Bora 1-1 pamoja na kwamba tumewapatia gori la pili kirahisi. Ni furaha kwa vile wengine tutapata nafasi ya kuiona mechi tena

:biggrin1: yaani nyie gooners mnanichekesha kweli...hata matokeo ya timu yenu hamjui...jus a bunch of fake fans you are....
 
:biggrin1: yaani nyie gooners mnanichekesha kweli...hata matokeo ya timu yenu hamjui...jus a bunch of fake fans you are....

Once a gunner, always a gunner. That shows how fake we are!!. Elewa kwanza sentensi ina maana gani kabla haujagusa keypad.
 
Back
Top Bottom