Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

AW bana.....Badala ya kumuingiza Rosicky anamuingiza Ramsey.....

Carzo
la anatoka, anaingia Ramsey......Chamberlain anatoka anaingia Gervinho

Bala kuingia kwa Gervinho ni kuua beki wao wa kulia asipande...game ya physic Tomas haziwezi ni kama Santiago alivyochemsha Leo
 
Bala kuingia kwa Gervinho ni kuua beki wao wa kulia asipande...game ya physic Tomas haziwezi ni kama Santiago alivyochemsha Leo
Gervinho hana msaada wowote so far....Anatugharimu tu kwa kupoteza mipira hovyo....Bora OX angebaki tu
 
Gervinho anatoa pasi kwa adui/beki..........

Huu upumbavu sasa...........
 
Dah.............

Ramsey naye hovyo kabisa......Kapoteza mpira, tumekoswakoswa kufungwa......

Kipa katuokoa sana leo
 
Back
Top Bottom