Wakuu, heshima mbele.
Kwa kweli Newcastle walidhamiria kutaka kutukwamisha lakini baada ya kuwa 4-3 mbele, Arsenal wakaanza kutupa sucker punches na Newcastle hawakuwana majibu.
Demba Ba lazima aje Arsenal tuwe na akiba nzuri ya washambuliaji.
Tatizo sie tuko kimya sana.watu wanafanya kweli.Breaking news.... According to sky sports tv, Demba Ba atakutana na Chelsea representatives this evening ku discuss terms... disappointment to all gunners kwa kweli.
Wacha aende Chelsick kule atapata number ... .. .... mchezaji yoyote anayefunga goli kwenye mechi ya Arsenal anakuwa nyota .... ... Andy Carol, Michu, Bar etc lakini quality ndio ina-mata, mwacheni aende kwa Chelsick maana atapata mpunga mzuri pale, kuhusu Theo nashangaa mashabiki lukuki walikuwa wanamlaumu sana na mimi nilisema tangu mwanzo he was just 20 yrs at that time lakini wengi hawakunielewa leo hii ni washabiki hao hao ambao wanamlilia ... .... ...... BTW huenda tayari alikuwa na mkataba mwingine kwenda Chelsick au Mancs kwa sababu aliambiwa he can mention his price .... kwa sababu atapewa open check na yeye ndiye aandike amount. The fact ni kwamba msimu huu hata kama hatasaini hawezi kuondoka hadi summer Prof hawezi kufanya makosa kama yale ya Judas angemwacha aende kwa Bosman rule na hicho ndio Theo atapata kwa maoni yangu. Fujo zote hizi zipo zinaongozwa na yule mrusi ambaye ni mnafiki alikuwa na option ya kununua club lakini akasuasua na Kronke alipochukua ndio anakuja kusema naye anahitaji kununua club.Mkuu Demba Ba goti nasikia linasumbua, sasa asije sajiliwa halafu ikawa issue.
mie naona tatizo sio strikers bali ni kipa mwenye safe pair of hands, central defender na attacking midfielder.
Aibu ... ... .. na nyie mnajiita great tinkers?
Sasa itakuwa zamu yenu kutuuzia Nani, ila mpunguze, 20millions ni nyingi sana.
Ba atakuja tu goners... Kuna kiatu kinamsubiri
yaani wenger anashindwa hata kumnunua demba ba mpaka anaenda chelsea? alicost only 7mil aibu zenu sasa kama mnashindwa kutoa hiyo hela kwa ba mtaweza kumnunua Nani kweli? ndo mana fergie amekataa kwa sababu anajua nyie njaa kali hamna hela
kuna dogo anaitwa zaha ... keshaandaliwa kuwa replacement ya theo.. wakati theo ana move center pale...
huyo dogo anachezea timu gani?
kuna dogo anaitwa zaha ... keshaandaliwa kuwa replacement ya theo.. wakati theo ana move center pale...
my point exactly!! hata watu humu hawajui zaha ni nani na anachezea wapi....ni dogo wa crystal palace...hana experience na premier league wakati ba tayari tunajua ni goal scorer...babu wenger deals zake ndo mana players wake hawa sign new contracts
theo nitashangaa kama ata sign new contract...kama kweli ni mchezaji anayetaka kushinda makombe na medals then arsenal sio team ya kua nayo...they will never win anything under wenger
Good news this morning ni kuwa jana jioni reps wa Demba Ba wameshindwa kufikia makubaliano na Chelsea fc so bado yuko available and AW has to act fast.
Source: sky sports
utakuja kuona experience yake pale digea atakapokuwa anaokota mipira toka wavuni ....:becky::becky: