Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,676
- 8,246
Wale tuliowapiga tano epl basement boys reading anawatoa kamasi watu wazima
Unajua tena hata kale kagoli kalikuwa ka-faulo walifikiri yale magoli matano tuliokota kama tende.
Wale tuliowapiga tano epl basement boys reading anawatoa kamasi watu wazima
Punguza kiherehere mtoto.....Yaani wewe kila post ya Gunners lazima uiquote?.....
Hiki kwetu Tinde tunakiita ni kimbelembele cha MWAJUMA......
'Ya Ngoswe, muachie Ngoswe' bana......
Wakuu,
Nafikiri Mtoto wa Mjini na wenzie huwa wanakuwa wanapata hamu tu ya kufahamu kinachoendelea Arsenal.
Yeye kuuutwa yupo hapa, lakini ndio hivyo tena huo ndio uhuru wa kuchagua timu unayoipenda.
Yeye anaipenda sana Arsenal na anaionea wivu wa kimaendeleo.

habari yoyote kwa mchezaji mpya kwenye chama yetu?
Punguza kiherehere mtoto.....Yaani wewe kila post ya Gunners lazima uiquote?.....
Hiki kwetu Tinde tunakiita ni kimbelembele cha MWAJUMA......
'Ya Ngoswe, muachie Ngoswe' bana......
Sébastien Squillaci amesaini mkataba mpya Arsenal, with improved terms.
huyo sio mpya, niliulizia mpya anaekuja
![]()
Nawatakia Gunners wote sikukuu njema ya Chritsmas.
Kesho timu inaingia uwanjani kufanya mazoezi mepesi na baadae ijumaa kwa ajili ya mechi na Newcastle jumamosi ijayo saa 11:30 jioni (saa za UK).
Kuna habari ambazo bado zinaelea kwamba Demba Ba atakuwa ni miongoni mwa wachezaji watatu watakaosajiliwa na timu yetu ifikapo tarehe 1 Januari 2013. Lakini Ba nae ni "injury prone" kiaina kwani akiwa anakimbia huonyesha kuchechemea.
Halafu kuna Adrian Lopez wa Athletico Madrid ambae anafaa sana na hachezi CL. Ikiwa hivyo basi tutapata mshambuliaji makini kumalizia kazi za Santiago Cazorla. Adrian ana umri wa miaka 24 hivyo kuwa mdogo zaidi kwa David Villa wa Barcelona ambae nae ni "injury prone".
Theo Walcott bado anasuasua ingawa Wenger anaweza kumuachia amalizie mkataba wake hapo Julai 2013 na akamsajili Winfred Zaha ambae anaonekana anafaa zaidi.
Kuna golikipa Simon Mignolet wa Sunderland ambae nae anahitajika kumsaidia Chezzer ambae ikiwataumia basi kuna tatizo la golikipa No 2 Manone ambae si mzoefu sana na mikikimikiki ya ligi.
Pia kuna orodha nimetoa hapo juu ya wachezaji wanaozungumzwa kwa ujumla inagwa tunamtoa Huntelaar na Nani ambao itakuwa ngumu. Huntelaar amesaini mkataba na Schalke ambao pia wapo kwenye CL na Nani anataka pesa nyingi sana kama £100,000 kwa wiki.
Kwa sasa kila mtu yupo anaangalia timu ambayo mpaka leo inawachezaji majeruhi watatu tu ambao ni Fabianski, Djourou na Diaby.
Merry Christmas!
Tumeamua kuwapumzisha ili mle sikukuu vizuri msije kula Xmass kwa machungu. Pia tunataka kuondoa kisingizio cha wachezaji wamechoka mnapofungwa. Mary Xmass and happy new year
Ndio nini?
Ndio nini?