Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nafurahia ushindi.... Ila hii 2nd penalty haikuwa fare... Ox alifanya dhambi kabla hajatendewa dhambi...Wakisema tumebebwa sitabisha

Penati zote si halali, na hii ndo radha ya mpira kuna siku inakula kwako na kuna siku unafaidika na maamuzi mabovu ya refa. So muache kupiga kelele hovyo juu ya Man Utd
 
Nasikia mashabiki na wachezaji wa manshit wanamuota Carlos ... ... ... chijui kwa nini wanakuja kuwanga kwa Gunners ... ... .. wakati Fungie anafahamu tabia ya brown envelopes than any other coach in EPL. Nafahamu wanakoroma kwa chuki wakioa Gunners wanashinda kwa sababu our team makes the headlines every day all the time kisa prof. anawanyima usingizi na vijana leo hususan Carz na Jack walikuwa top of their games ... ... ... watch this space next distination .. ... Tuesday night kombe la mbuzi . ... ... . .
 
mmeona kushinda kihalali hamwezi mnaanza kuogelea kwenye penalty box sio? kaaazi kweli kweli
 
Nasikia mashabiki na wachezaji wa manshit wanamuota Carlos ... ... ... chijui kwa nini wanakuja kuwanga kwa Gunners ... ... .. wakati Fungie anafahamu tabia ya brown envelopes than any other coach in EPL. Nafahamu wanakoroma kwa chuki wakioa Gunners wanashinda kwa sababu our team makes the headlines every day all the time kisa prof. anawanyima usingizi na vijana leo hususan Carz na Jack walikuwa top of their games ... ... ... watch this space next distination .. ... Tuesday night kombe la mbuzi . ... ... . .

Huyu ndio Wacha1 bwana hakawii kubadilika-badilika kama kinyonga...Jana na nyinyi mlipitisha rupia penye uzia nini?
 
Penati zote za kupewa,nilishasema kila timu inabebwa tatizo wengine hawabebeki
 
Kusema ukweli mlituuzia RVP bei rahisi sana,watu wa Arsenal wanakasirika sana anavyofunga magoli ya ushindi pale Manu
 
Sio kweli kawafuata mashoga pale ANATEMBEZA BAKORA TU KHE KHE KHE KHE KHEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
 
Hizi habari za mashoga zimetoka wapi tena?
Halafu mbona siku hizi haumii au kuna mtu alikuwa anamloga
 
Kwani hukusikia hii mechi yake ya mwisho msimu huu? Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.

Nona hawa vijana wametutangulia!
Tupo full kikosi but still tumeshapigwa kimoja! Hope we are going to come back stongly!!
 
Kumbe ndiyo maana tunafungwafungwa hovyo! Yaani na wewe ni mpenzi wa Arsenal? Acha nizime decoder nikalale.
Nilikuwa najiuliza inakuwaje vibonde kama hawa Bradford watufunge lakini sasa nimepata jibu.
 
Vijana wako wanisikilizia kibaridi cha BRADFORD kwanza.

Ila waangalie wasije shutukia wanapigwa cha pili sio LONDON kule
 
Sijawahi kuona mchezaji mbovu kama Gervinho!!! Hastaili kuvaa jezi ya Arsenal!!
 
Vijana wako wanisikilizia kibaridi cha BRADFORD kwanza.

Ila waangalie wasije shutukia wanapigwa cha pili sio LONDON kule
Kuna huyu dogo Wells, naona anamsumbua sana Vermaelen!! Kidogo angetupiga cha pili!!
 
Kumbe ndiyo maana tunafungwafungwa hovyo! Yaani na wewe ni mpenzi wa Arsenal? Acha nizime decoder nikalale.
Nilikuwa najiuliza inakuwaje vibonde kama hawa Bradford watufunge lakini sasa nimepata jibu.
Uzime decoder kivip wakati unaangalia mpira bar??
 
Back
Top Bottom