Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

I'm still wondering why doesn't every player at Arsenal has that fighting spirit like Wilshere? I don't know. We lose games not because of the lack of quality but failure to put up a proper fight. Shame
 
Dah kazi kweli kweli ..... Arsenal Out
Kifo cha MENDE, chali pwaa. ChachaWANGWE uko wapi mukulu. hopefully VICHAKANI hahahahaha. Poleni chana.

I think BABU anatakiwa asepe sasa kama kweli mnataka vikombe. Otherwise mtabaki chenga twawala wenzenu wana inuwa ndoo kila kukicha.
 
jamani hata kakombe ka carling cup mnashindwa kukashinda....mwaka huu arsenal wasiposhinda kitu na wasipomaliza kwenye top 4 sipati picha hali ya wenger na board yake itakuaje
 
Unajua kinachowapa jeuri jamaa ni the fact kwamba Arsenal ni timu inayopendwa na neutrals wengi, kuna watu wengi ambao sio mashabiki wa Arsenal lakini wanapenda kuwaangalia wakicheza, pia location yao ya london inawasaidia sana coz watalii wengi wanapenda kwenda kuwaona so hawa jamaa hawategemei sana mashabiki damu kama sisi. One of the most expensive club (kama sio the most expensive) to watch. Kinachoudhi ni kuwa uongozi unajali zaidi balance sheet na kusahau kuwa hiyo kitu haina maana yoyote kwa mashabiki, wao wakimaliza kwenye top 4 tu, hilo ni bonge la achievement coz wanajua mamilioni ya champions league yataingia, mimi nasali sana tumalize nje ya hiyo top 4 ili wakose hela na wao wapate uchungu, na hiyo hasara itawalazimisha wanunue wachezaji wa maana.

Strategy ya AW ya kununua watoto ingefanya kazi kama tungekua hatuuzi, watoto wanakuja wakikaa few seasons na kuwa finished articles wanapigwa bei! Ni kama vile unajenga nyumba halafu ukifika juu badala ya kupaua unapiga kozi kadhaa chini halafu unaanza tena kujenga, huo ujenzi hauishi! Naamini kama tungekua hatuuzi wachezaji wetu, hakuna timu ingekua inatia mguu kabisa! Achilia waliouzwa zamani, rudisha tu Clichy, Fabregas, Nasri, RVP na Song kichwani mwako uone hii timu ya sasa inavobadilika..And did I say Theo and Sagna wanaondoka next month??

kweli mkuu ndo maana AW na BODI wanapata jeuri sana ya kutokujali feelings za mashabiki.Hope Mungu atasikia dua zako msimu wa kutoingia top 4.
 
Washazoea ARENA yao ya THE EMIRATES hawa sasa walipoenda BRADFORD nakukutana na DAR LIVE kina KAZOLA, PODOSKI NA MOTASAKA wakaanza kushangaa uwanja badala ya kucheza mpira.

Walijiona kama wako training ground lakini tofauti ilikua kelele za mashabiki tu
 
chini ya top 4 sio rahisi kukwepa msimu huu tunashuka kwenye 7

kwa ninavyoiona standing ya table kwenye ligi inawezekana sana tukawa wa 4 coz totenham sidhani kama ataendeleza wimbi lake la kubaki hapo juu,vile vile evaton nao sidhani kama wataweza kumudu mikikikiki ya hapo juu.all in all mi naomba tuwe wa 8 hata tusishiriki hata europa ligi ili tuone AW na BODI yake watafanyaje hapo!
 
huyu babu hana formation kushinda kwa Arsenal ni msukule msukule hata hakutabiriki ile ya jana ilikuwa gemu ya mwisho kuitazama na kurekodi
Napendekeza fans wote wa timu wagome kuenda kwenye gemu ndio kitajulikana bila ya hivo mdundo ndio utakuwa hivo hivo kila leo
 
Ars..laughable stock,how can you sell your strongest weapon to you arch-enemy in RVP?
 
We have a worst season since i became an arsenal fan! We are disgusting to watch to be honest

AW will never win anything i can see he better sees that before he embarasses himself

the only solution is to miss a CL spot and fans to boycott watching them at Emirates...lets fans exchange frustration with Loss of Revenue may be they can come to their senses!

Always a gooner
 
Kuna jamaa ametonya kuwa Arsenal watakuwa na press conference. Kama ni kweli, ningefurahi kama wangekuja na habari njema kwamba Wenger ametemeshwa!
 
Naona kuna wanoko wamefufuka ati Arsenal kapoteza mechi ya kombe la mbuzi khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.

Fact Prof haendi kokote kule, wasiomtaka wahame club hadi atakapoondoka.

Fact Kocha anayewanyima usingizi maelfu wenye husda

Fact Kwenye mpira lazima ukubali kufungwa asiyekubali si mshindani

Fact prof atabadili mambo na wanoko wataanza kuweweseka.

Next match away on a Monday to Reading.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
[h=1]Stewart Robson: 'Dictator' Arsene Wenger is costing Arsenal chance of trophies[/h]Last updated: 12th December 2012


Arsene Wenger is "a dictator" whose time at Arsenal should have come to an end years ago, according to Stewart Robson.

The club's former midfielder, who played 210 times following his debut as a teenager in 1981, believes Wenger has a lack of tactical nous which is costing points every year.

Arsenal have made their worst start to a season under Wenger, but a large section of the support continues to back a manager who has twice delivered the Double and overseen an unbeaten league campaign during his 16-year reign.

Robson, though, told Sky Sports News Wenger's reluctance to listen to his backroom staff is behind the kind of defeat the Gunners suffered at League Two Bradford in the Capital One Cup.

He said: "It was a poor performance, but one I'm not surprised about. Time and time again Arsenal don't earn the right to play, and tactically (Bradford boss) Phil Parkinson showed he's a better coach than Arsene Wenger.
"I'm more embarrassed with the way Arsene Wenger conducts himself these days. He doesn't do any tactical stuff on the side of the field, they tell me he doesn't do too much work on the defensive side in training, yet he'll have a rant at everybody else.

"There's backroom staff that will challenge his decisions - Steve Bould, Neil Banfield, Terry Burton - but they can't challenge him because he's a dictator in many ways.
"Why isn't Steve Bould doing more coaching? Because - time and time again - I don't think Arsene Wenger sees the danger. When the team are making mistakes he doesn't rectify them, and the reason he doesn't rectify them is he doesn't know what the mistakes are.
"In my view it was time up three or four years ago. The fans have stuck by him, they always say 'in Arsene we trust', that can't be the case any more.
"Tactically Arsenal are all over the place at times, they're underprepared defensively, and if you have that you're always going to lose several football games in a season and not win trophies."

Source: skysports.com
 
Mkuu KKN,

Hao wote ni walewale Arsenal haters ni wengi mno na wanafurahia sana hali iliyopo sasa.

Wenger ataendelea kuwa meneja wa timu ya Arsenal na ana mkataba amabo unamalizika 2014.

Amekiri kwamba Arsenal imepoteza mhimili pale kwenye midfield na hasa pale alipomuuza Fabregas na Nasri.

Jioni hii AST tumeambiwa kwamba kuna funds iliyopo kuhakikisha kunasajiliwa wachezaji muhimu ifikapo January.

Haya matokeo ya Bradford waliocheza kama wapo kwenye fainali hayapotezi usingizi.
 
Mkuu KKN,

Hao wote ni walewale Arsenal haters ni wengi mno na wanafurahia sana hali iliyopo sasa.

Wenger ataendelea kuwa meneja wa timu ya Arsenal na ana mkataba amabo unamalizika 2014.

Amekiri kwamba Arsenal imepoteza mhimili pale kwenye midfield na hasa pale alipomuuza Fabregas na Nasri.

Jioni hii AST tumeambiwa kwamba kuna funds iliyopo kuhakikisha kunasajiliwa wachezaji muhimu ifikapo January.

Haya matokeo ya Bradford waliocheza kama wapo kwenye fainali hayapotezi usingizi.

Richard nimefurahi kukuona tena hapa mkubwa, long time sana- am back!
Tatizo la Arsenal ni kwamba kila siku wanasema kuna fungu la kusajili wachezaji lakini hatuoni wakisajili, ukitaka midfielder au striker wa maana kwenye soko la sasa basi uwe tayari kulipa above £20m kitu ambacho AW haoni kuwa ni sahihi. Inabidi babu akubaliane na hali halisi ya soko tu. Na pia kuna haja ya kubadili salary structure, wachezaji wengi wanaondoka kwa kuwa wanapata offer nzuri kwenye vilabu vingine. Miaka 7 bila kombe lolote ni aibu kubwa kwa club kama arsenal na mashabiki wana kila sababu ya kuwa na hasira na AW.
 
Richard nimefurahi kukuona tena hapa mkubwa, long time sana- am back!
Tatizo la Arsenal ni kwamba kila siku wanasema kuna fungu la kusajili wachezaji lakini hatuoni wakisajili, ukitaka midfielder au striker wa maana kwenye soko la sasa basi uwe tayari kulipa above £20m kitu ambacho AW haoni kuwa ni sahihi. Inabidi babu akubaliane na hali halisi ya soko tu. Na pia kuna haja ya kubadili salary structure, wachezaji wengi wanaondoka kwa kuwa wanapata offer nzuri kwenye vilabu vingine. Miaka 7 bila kombe lolote ni aibu kubwa kwa club kama arsenal na mashabiki wana kila sababu ya kuwa na hasira na AW.

You r back where have u been au ndio maboksi kama wanavyosema wa kule TZ?

Nice to see ya.

Mimi niliiona game jana na kwa kweli inatia aibu timu kama ile yenye thamani ya £7500 kucheza na timu ya Arsenal ambayo ilikuwa ina watu wanaogharimu £66 milion pake yake halafu ikashinda.

Kwa Assessment yangu ya haraka ni kwamba Bradford walikwishajiandaa jinsi ya kucheza na Arsenal kama zilivyo timu zingine.

Hivyo Arsene Wenger ana wajibu wa kuwa anabadilisha mtindo wa uchezaji wake jambo ambalo ni gumu sana kwa kulikubali. Kwa sasa anategemea sana mtindo wa 4-3-3 ambao kila timu inakesha kuusoma na kuupangia namna ya kukabiliana nao.

Arsenal inatakiwa irudi kwenye mtindo wake wa 4-4-2 au 4-3-1-1 ambao timu nyingi ndio wanatumia kwa sasa.
 
Asante kaka, ni kweli boksi ilibana kidogo na I must admitt nilishindwa kucope na JF ilipokua flooded, nilikua nimezoea ile ya zamani ya watu wachache!

Umegusia tactics hapo na mimi pia naona AW ana ukosefu wa flexibiliy, utakubaliana na wengi kuwa hana plan B, yeye anataka timu icheze hivyo hivyo kila siku regardless ya opponent au type ya wachezaji aliokuwa nao. Yani hata kama we are losing a game, hutamuona akifanya tactical changes kubadili mchezo, anabadilisha watu tu lakini timu inaendelea kucheza vilevile.
 
Wenger has "considerable" funds, Supporters Trust is told

BBC

Arsenal manager Arsene Wenger has been given "considerable resources" to spend in the January transfer window, Arsenal Supporters' Trust have been told.
The AST met the club's chief executive Ivan Gazidis on Wednesday evening to discuss Arsenal's poor season.
"There is plenty of money there," (What is the definition of "plenty of money"?) said Trust spokesman Tim Payton. "That was the message that Ivan and his finance director were giving this evening."

The Gunners exited the Capital One Cup with defeat at Bradford on Tuesday.
Arsenal supporters wanted answers as to why Wenger had been reluctant to spend money on new players and 100 fans met with Gazidis to voice their concerns.

"He stayed for over two hours," said Payton. "He apologised for the result [at Bradford] and said it was not good enough and had to be better.
"The Arsenal fans were dissatisfied with the strength of the squad and particularly don't understand whether there were resources to be used.
Arsenal's lack of trophies

Arsenal's last major honour was the 2005 FA Cup.

"I specifically raised this with the finance director and his colleague and they were in no doubt there is considerable resources available to the manager ready to spend when he has identified the players he wants to sign.
"It's crystal clear that Arsenal fans need to wait until January for Arsene Wenger to use the cheque book he has been given well."
Arsenal currently find themselves seventh in the Premier League but the Trust believe Wenger should be given the chance to take the club forward if he spends wisely in January.
"Lots of people have asked me whether Arsene Wenger should go," added Payton.
"He certainly needs to change and improve, spend the money he's got, strengthen the set-up around him and the results will be the judge."

Mkuu mie nimeshapoteza imani siku nyingi sana na AW na management yote ya Gunners. Walinimaliza nguvu kabisa pale walipoamua kumuuza Van Puuuu.... kwenda MANU. Makosa kama hayo ya kumuuza mchezaji wenu star kwa timu ambayo iko EPL hata siku moha SAF huwezi kumsikia akiyafanya. Nakumbuka miaka michache iliyopita Rooney alitingisha kibiriti na kutaka kuondoka MANU. SAF hamkutolea uvivu na kamwambia una uhuru wa kuondoka tutakuuza katika timu yoyote ambayo itatupa pesa nzuri lakini ujue timu hiyo haitakuwa UK bali ni nje ya UK kwa maana nyingine kuhamia katika ligi ya Germany, Spain, Italy etc Rooney mwenye akanyoosha mikono juu na kutia wino ili kubaki MANU.

Timu inashuka hadhi taratibu na ilhali Bank account ya Gunners imenona vibaya sana. Wanataka wachezaji wa bei poa matokeo yake one of the mighty team among the best teans in EPL, Europe and the World sasa hivi imekuwa kibonde cha hali ja juu. Siku hizi nikiangalia mechi najua uwezekano wa kwanza ni kufungwa, kutoa draw au tukibahatika kushinda kimanati manati.

Wachezaji pamoja na kulipwa mabilioni lakini nao wanataka kubeba makombe mbali mbali ya EPL, FA, UEFA etc lakini timu yetu ya Arsenal kila mwaka nafasi ya kufanya hivyo ndio inazidi kututupa mkono. wachezaji wa zamani wa Gunners wamejaribu sana kuongea kwenye vyombo vya habari mbali mbali kuhusu umuhimu wa kuwa na wacheza ambao wana experience ya kutosha lakini management ya Gunners imetia pamba masikioni huku timu ikizidi kudorora msimu hadi msimu.

Sasa hivi hata kuwapata wachezaji wakali duniani itakuwa ni kazi mno!!! maana inaonekana Gunners haiwajali hata masuperstar wake mbali mbali na hivyo kuhakikisha inafanya juu chini ili kutowapoteza na hivyo kujenga timu imara ya kuweza kupambana na MANU, MANC, BARCA, RM etc..Siku hizi hata tukicheza na vibonde wanajua hawa Gunners ni vibonde wenzetu tukikaza msuli basi tunaweza kuondoka na 3 points!!! :target::target:

Nitafurahi kuona mechi za nyumbani za Gunners uwanja unakuwa mtupu hivyo kuwapa mstuko mkubwa owners na management in order to kick them where it hurts the most, Gunners' bank account...labda ndio watatia akili kichwani na kuirescue timu kabla haijashuka daraja. Na kwa matokeo ya hivi karibuni sitashangaa kusikia Walcott naye ameamua kuvua jezi na kwenda MANC, MANU au Tottenham... nasubiri kwa hamu mchapo mkali wa J'pili kati ya MANU na MANC

Msema kweli....
 
Back
Top Bottom