UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 10,048
- 9,342
Lakini.penalty naona kama tumepewa santi hajaguswa
Yaani hiyo ni zawadi kabisa. Santi amesimuleti waziwazi. Shame on him.
Lakini.penalty naona kama tumepewa santi hajaguswa
Naona Gunners wanazawadiwa penati
Hawa vilaza tu pamoja na kupewa penati kama zawadi ya krismasi.
Assnal kama manure vile. Divers wanazawadiwa penati badala ya kupewa kadi.
Gervinho ni **** sana kwenye Finishing........
Nafurahia ushindi.... Ila hii 2nd penalty haikuwa fare... Ox alifanya dhambi kabla hajatendewa dhambi...Wakisema tumebebwa sitabisha
2:0 Arteta, tatizo la timu yangu ni kuwa tunasahau sana. Leo tukishinda tu, ile debate ya Wenger atoke au abaki itasahaulika! Suck Wenger!