prince pepe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2012
- 215
- 29
Fainali wamesawazisha dah
Vermaleeeeeen!!
Naona Dk ya 88 kama kawaida yetu tumesawazisha!!
So far naona Wilsher kafanya vizur-!!Nani mchezaji wako bora katika game hii?
Wenger aliambiwa awaandae vijana incase ikitokea wanafika kwenye penalty!! Babu kama kawaida akabisha, akidai mpira unaishia kwenye dk 90!Dah kazi kweli kweli ..... Arsenal Out
Kunaweza kukawa na extra time hapa wakati huo ARSENAL watakua wameshaizoea baridi ya YORKSHIRE coz iko mainazi 3
Arsenal ya sasa imekua ni timu ya kawaida sana, zamani timu ndogo zilikua zikicheza na Arsenal zinacheza defensively, wanajaza defensive midfielder kibao katikati lakini sasa hivi kila mtu anajua akicheza na Arsenal kushinda ni rahisi, unawashambulia tu. I used to buy Arsenal tops, I used to go to the emirates lakini siku hizi nimegoma, nimesusa kabisa hadi waanze kutumia mamilioni wanayopata kununua wachezaji wa maana na kuacha kuendekeza child labour, and I agree its time for Wenger to go now, his best days are behind him. Hata Bradford jamani? A team that is 65 place below us? Tena wala hatuna excuse coz tulikua na kikosi kamili, shame, shame...
Yaani Mkuu KKN we acha tu!!! Natamani kungekuwa na wapenzi wenye msimamo kama wako na kususia kwenda kuziona mechi za Arsenal au kununua bidhaa mbali za Arsenal ili kuwashinikiza owners na management kutoridhishwa na muelekeo wa timu.
Mna shida na hako katim kenu, huyo wenger si mumfukuze? Timu haina hata mchezaji mmoja wa maana. Eti vermaleen ni captain wa timu, sijui aliwahi kucheza mpira lini na wapi.timu zote kubwa ili uwe captain lazima uwe umecheza premier league mechi si chini ya 300, sasa huyo vermaleen hata mechi 70 hajafikisha mnampa u-captain? Ataongoza vipi timu? Kaulizeni Kompany, Terry, Ferdinand, Evra, Gerald wamecheza mechi ngapi kwenye timu zao ndio wakapewa u-captain.