Yaani amekuwa kama kuku kinyonyoke style zingine bana!!!!!
Huyu dogo anaufaransa tipiko kama ule wa cisse wa QPR yuko busy na poda pembeni kioo
Duh hii timu kiboko hakuna anayejituma uwanjani huyu Arshavin ndo kibonde uwanjani.
Mkuu kumbuka kwa kuwa sisi ni namba 2 tunaweza kukutana na Borussia Dortmund,P.S.G,Barcelona,Man u,Schalke 04 hawa kwa sababu tulikuwa group moja ni vigumu kukutana nao.Je kuna uwezekano wa kuvuka hapo?Mkuu naona umeingia rasmi leo .. ... ... karibu sana. Sasa tutaona J1 pale Emirates reaction ya wachezaji ... .. ... angalau Charmack and co. wamepata gemu walikuwa wanakomba tu mpunga kwa mazoezi .. ..
Naona chacha mtoto wa shamba kaja kuwanga .. ... nenda kawasalimie noisy neighbour .. .
Mkuu kumbuka kwa kuwa sisi ni namba 2 tunaweza kukutana na Borussia Dortmund,P.S.G,Barcelona,Man u,Schalke 04 hawa kwa sababu tulikuwa group moja ni vigumu kukutana nao.Je kuna uwezekano wa kuvuka hapo?
Mkuu kumbuka kwa kuwa sisi ni namba 2 tunaweza kukutana na Borussia Dortmund,P.S.G,Barcelona,Man u,Schalke 04 hawa kwa sababu tulikuwa group moja ni vigumu kukutana nao.Je kuna uwezekano wa kuvuka hapo?
bora wewe umeingia mitini wenzako bado tuko nao hapa wanalalamika kila siku kila jmosi lazima tuje kuwatuliza hapa :biggrin1:
Halafu na wewe katoto ka mjini umezidi kuvamia jukwaa letu, kila siku upo tu.....mbona kule kwenu huonekani??
West Brom tunawapiga tu.........BTW inaonekana una mapenzi sana na Arsenal, matendo yako tu yanaonyesha...:becky:Coz in arsene we love and trust :biggrin1:, jmosi na west brom is a must win game...mkifungwa sijui babu wenu atajificha wapi
West Brom tunawapiga tu.........BTW inaonekana una mapenzi sana na Arsenal, matendo yako tu yanaonyesha...:becky:
Sipati picha Odemwingie, Long and Co. watakavyowapelekesha pale mbele na kuwafanya vibaya
Washabiki wa dizaini yako ndo mnafanya timu izidi kudorora na mtaifanya ishuke daraja soon.
Endeleza mentality zako za BAHASHA afu tuone hiyo AssEno yenu itafika wapi.... Timu yako ni dhahiri mbovu kama BAK alivyoelezea hapo, but wewe unakazania BAHASHA tu, keep it going on n on and we'll see where you'll be hiyo MAY.
*Mnaboa*Unaboa*:A S angry::A S angry::A S angry: