kama yule dogo wa manure anakuwa mzuri akitokea sub akianza match ndo vile tena
Wenger bana......
Sijui naipeleka wapi Arsenal............
pia villa wamejitahidi sana they deserved it
Wewe una habari Bonucci na Chielini wagonjwa?
Naona umekimbilia huku kama mwenzio Companero anavyokimbilaga kwenye jukwaa la mapishi.
Twende kule ukajieleze matarajio yako ya kesho...
RDM kaonyeshwa exit door,Mark Hughes naye katimuliwa...Je, AW(a.k.a Mugabe) atang'oka au ndio utabaki usemi wa ''In Arsene we sufferingly trust''??
Arsene will never ever get sacked nobody has got power to do that to him at Arsenal (huu ukweli mchungu) na waweza kumtoa ila tukashindwa kumpata mbadala tukaanza kuwa Liverpool baada ya kuondoka Daglish miaka ya 90..wala simlaumu kwa draw ya jana Aston Villa walicheza vizuri na wako njema hasa wakiwa Villa park...after all he is a top top Manager only never won UCL but every top manager adore him except manure and Chelsick fans
Unveiling AF's Statue means his days are numbered thats for sure i cannot see him next two years do you think whom will emulate what he has done for united so far? Once he retires 30%-40% of winning spirit and mentality will deteriorate so watch out your joy has got its end and unfortunately it's sooner(ukweli mchungu mwingine)
opinion divided mr Ambitious and mtotowamjini
Mkuu kashengo it seems there'll be no Arsenal without Arsene..but that do not apply to Manchester United rest assured mkuu.When the time comes AF will retire and his place will be taken by someone qualified to the position.
Arsenal has somekind of an overdependence or rather a fixation to AW though time and again he fails to deliver,once upon a time gunners had functioning guns but nowadays they are shooting blanks.
The only thing that keeps AF at Man United is the simple fact that he knows what he is doing at all levels of competition but sadly enough i cant say same on AW case b'se it has been 7 trophiless years and counting.
I have no problem with AW being glorified as if he is a 'demigod' at Arsenal b'se hey that works to our advantage.
Glory glory Manchester United...long live AF.
Arsene will never ever get sacked nobody has got power to do that to him at Arsenal (huu ukweli mchungu) na waweza kumtoa ila tukashindwa kumpata mbadala tukaanza kuwa Liverpool baada ya kuondoka Daglish miaka ya 90..wala simlaumu kwa draw ya jana Aston Villa walicheza vizuri na wako njema hasa wakiwa Villa park...after all he is a top top Manager only never won UCL but every top manager adore him except manure and Chelsick fans
Unveiling AF's Statue means his days are numbered thats for sure i cannot see him next two years do you think whom will emulate what he has done for united so far? Once he retires 30%-40% of winning spirit and mentality will deteriorate so watch out your joy has got its end and unfortunately it's sooner(ukweli mchungu mwingine)
opinion divided mr Ambitious and mtotowamjini
hiyo sikubaliani na wewe...kwanza wenger hajashinda trophies zote...wenger akiondoka leo hii akaingia mwingine akashinda champions league atakua tayari ni arsenal legend....man utd yoyote atakayeingia na chochote atakachoshinda hatamzidi fergie kwa sababu tumeshashinda kila kitu, man utd tayari ina system ambayo ina improve kila season whereas arsenal they're a selling club, kila season lazima kuna player wanamuuza..yes fergie akiondoka itakua pengo lakini we do have a system in place ambayo itakua tayari ku take over na ku stabilize our club ikifika wakati fergie akiamua ku retire...
RDM kaonyeshwa exit door,Mark Hughes naye katimuliwa...Je, AW(a.k.a Mugabe) atang'oka au ndio utabaki usemi wa ''In Arsene we sufferingly trust''??
Do we need to urgue? I wonder!
Kuna wengine wananembo za Fungie hapa hawafahamu kwamba Fungie ushindi wake mwingi ni wa bahasha, I mean ''brown envelopes'' hence mzee wa bahasha hata muda huwa unaongezwa ili mradi tu ashinde huyu naye unaweza kusema ni kocha mzuri ... .... ... khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee
BTW hivi kama Gunners ni wachovu hivyo, mnafanya nini kwenye uzi wa Gunners .... .. hii yote inaonyesha jinsi tunavyowanyima usingizi kudos Prof.
Je unajua mafanikio aliyoleta AW toka amekuja Arsenal? nje ya makombe aliyochukua? nani mwingine klabu yeyote duniani ameyafanya nitajie!
Ferguson's retirement syndrome itasumbua hakuna cha culture wala jadi you will feel it may be next season if we have to believe David Whelan
liverpool Daglish's syndrome mpaka wakamrudisha wapi? Newcastle waliwahi kukaribia ubingwa mwaka 1995 chini ya KEEGAN wakaona wamrejeshe tena miaka 3 nyuma ila wapi?
UNAJIPA matumaini no coach who will come to Manure and settle quickly unless football is magic nowdays
Wacha1 hebu wacha maneno ya vijiwe vya kahawa.If you got any proof of the so called 'brown envelopes' mambo jumbo weka jukwaani hapa b'se as far as am concerned kama hii 'ghost phenomenon' ingekuwepo nyie mngekuwa wa kwanza kuifanyia kazi due to the desert-like state of your trophy cabinets.
Hivi nani anaweza kukosa usingizi kisa huyo Prof. Majimarefu????!!!!Jana dhidi ya Aston Villa hadi nilimuonea huruma ananyeshewa na mvua kisa kutoa maelekezo kwa wachezaji tasa waliojichokea.
Poleni sana but honestly this looks like another msimu-kapa kwenu.
haya nyie mlikua highbury mkajenga uwanja mkahamia emirates..so ndio kinachomfanya wenger anakua ana kiburi sio? mnasahau kitu kimoja kama fans uwanja sio issue...emirates mlikua invincibles, mlishinda 3 PL trophies... haya toka mmehamia emirates mmeshinda nini? jana wenger kawa mwekundu anaulizwa ana nini cha kuwaambia fans wake kua wamekuja mpaka birmingham na hawajashinda...its not easy being a gooner fan at the moment