Bukayo jr
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 2,782
- 1,647
Hivi unapoongelea prof. unafikiri ni title kama ile aliyopewa kwa huruma huyo Fungie wenu? Prof. tangu aje Gunners kesha nyakua makombe kibao au unataka tuanze kushangilia/kushabikia timu wakati wewe ulipozaliwa au ulipokuwa na ufahamu wa kujihusisha na timu yoyote? Wake up and stop to be a paranoia. Kwani msimu huu au uliopita nyinyi mlishinda nini zaidi ya kucheza kwenye channel 5? Hata huyo Judas tumewapa bado mnaweweseka weweseka tu, asipofunga mko taabani shukuruni brown envelopes but time is coming very soon ndio chababu mnaanza kuweka sanamu hovyo hovyo. Mwaka huu hamuwezi kushinda kwa kutumia mashoga wazee chijui mtatoka vipi? Khe khe khe khe khe
khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
BTW prof pale alikuwa kazini na Gunners wanamlipa takriban £8 million kunyeshewa na mvua wakati wa mechi ni part and parcel of the job, wewe kazi yako usiyonyeshewa na mvua unalipwa kiasi gani? Ati umuonee huruma phew!
Wacha fujo, ndio umbeya wenyewe huo, mbona prof alilijibu hilo swala kwenye Press conference yake, ni kama kwenye familia wakipigana wewe unaingilia kama nani? Nenda kauguze mashoga Trashford. Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Wa mwache mzee wetu..wakatizame ya kwao ebo!