Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

mkubwa vipi! salama.. naona mmemkaibisha na mabango kocha wenu! :confused2:

Nobody, including myself likes him at The Bridge. Ana kazi kubwa ya kutushawishi tumkubali, ingekuwa rahisi kwake kama angeanza na apology.
 
Line ups

Everton -Howard, Hibbert, Jagielka, Distin, Baines, Naismith, Gibson, Osman, Pienaar, Fellaini, Jelavic

Arsenal - Szczesny, Sagna, Mertesacker, Koscielny, Vermaelen, Walcott, Ramsey, Arteta, Wilshere, Cazorla na Giroud

Thomas Rosicky ameanza akiwa bench
 
Naona Ramsey kachukua nafasi ya podolski .. leo... Pod kapumzishwa

Mkuu ni Walcott na Wilshere wanacheza badala ya Alex Oxlade-Chamberlain na Podolski. Ramsey alianza jumamosi iliyopita. Naona atabadilishwa na Rosicky.
 
Kama nilivyosema jana Walcott ana kazi ya kuhakikisha anafunga magoli mengi as soon as possible.

anafunga goli kwenye dakika ya kwanza baada ya kubadilishana pasi na Aaron Ramsey.

1-0 up
 
He is at his best years.....he can score and he has got the pace....get him a long contract n keep the kid......
 
He is at his best years.....he can score and he has got the pace....get him a long contract n keep the kid......

Thats is our problem..i can't stand seeing players leaving when they are in form of their life my Friend this boy is Leaving
 
Dakika karibu 20 zinakwenda bado Arsenal 1-0 up. Everton wamejaribu kuuliza maswali kwenye ngome ya Arsenal lakini bado hakuna jibu.
 
Bacary Sagna anampa mpira Marouane Fellaini na mchezaji huyo mrefu anafunga kwa kupiga shuti la mguu wa kushoto.

Mambo sasa 1-1
 
Bacary Sagna anampa mpira Marouane Fellaini na mchezaji huyo mrefu anafunga kwa kupiga shuti la mguu wa kushoto.

Mambo sasa 1-1

Kumpa sio term nzuri.... alikua anaondoa hatari......na likatokea lilitokea.....
 
Kumpa sio term nzuri.... alikua anaondoa hatari......na likatokea lilitokea.....
Tunahitaji kuwa na holding midfielder wa uhakika!! Hawa akina Arteta naona wanaruka ruka tu!
 
Kumpa sio term nzuri.... alikua anaondoa hatari......na likatokea lilitokea.....

Ni kweli lakini katika footbal terms Fellaini anaonekana amekuwa "gifted possession" na uokoaji mbovu wa Sagna.
 
Back
Top Bottom