sijui wenger anasubilia nini kumtua huyu Ramsey!!!!Haka ka Ramsey si katolewe tu......
Umhh hali mbaya. Ramsey ana gundu match zote anazoanza
Ramsey labda kaoa bint wa Wenger..
Wenger bana......
Sijui naipeleka wapi Arsenal............
Umhh hali mbaya. Ramsey ana gundu match zote anazoanza
Do you believe in luck and curse? I though football is more about Tactics?