Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hapana......Hapa ni mahaba tu dhidi ya Rosoneri ndo yanakusukuma useme hivyo....

Nini ubora wa la Mexes?, kwa sababu ni la tik tak?....Kama goli la tik tak la Mexes ni bora Europe, vipi hili goli la Ibrahimovic alilofunga siku ya mechi ya Sweden na England?

Mkuu Balantanda heshima mbele...
Ishu ni kuwa goli la Mexes linabaki kuwa bora zaidi ya goli la Ibra kwa sababu goli la Ibra kipa hakuwepo golini...
Lakini goli la Mexes kipa alikuwepo golini lakini mpira ulipopelekwa hata wangekuwa makipa watatu wasingefika.

forza Milan
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Balantanda heshima mbele...
Ishu ni kuwa goli la Mexes linabaki kuwa bora zaidi ya goli la Ibra kwa sababu goli la Ibra kipa hakuwepo golini...
Lakini goli la Mexes kipa alikuwepo golini lakini mpira ulipopelekwa hata wangekuwa makipa watatu wasingefika.

forza Milan

haya bwana halafu haya magoli huwa yananiumiza maana my fev golikipa huwa anausika mpaka basi wine romney alimfunga kidogo tu akadabra kamtupia tena yaani balaa tupu..
 
morinho anashinda trophies anapigwa chini
ancelotti kashinda PL na fa cup bado kapigwa chini
RDM anashinda CL hata miezi sita hamalizi kapigwa chini duuhh

arsene wenger anaingia mwaka wa nane toka ashinde kombe na bado yupo na hana dalili za kwenda kokote... MR WENGER must have the best and safest job in the world. LUCKY HIM..IN ARSENE THEY TRUST:crazy:
 
Arsenal ni wazee wa hawavumi lakini wamo!
 
Wanoko tayari washajaa hapa kweli Gunners tunatisha (Bila hivyo wangetulia makwao) ngoma au wengine huita mtanange leo jioni ... .... ..vijana wako ready kukabiliana na A. Villa
 
Sijui leo atakunya kabisa?!?
 
Attachments

  • 381f5c8e03247c0ba16911bf33e956fb.jpg
    381f5c8e03247c0ba16911bf33e956fb.jpg
    20.4 KB · Views: 19
Haya presure zetu ndiyo zinaingia saahizi....wenzetu Man U wameshashinda sasa subiria madudu yetu!
Utashangaa Aston villa wanatufunga. Kiukweli Arsenal inatutesa sana
 
Acha mchecheto ... Cazorla got this
 
Wenger Naona kampiga bench bacary kaanza NAS jenkson.. na Ramsey huyu mzee anatafuta draw au ushindi..?
 
Man Siku zote mi najua we Liverpool...

Nitake radhi kabisa. Mimi niwe Looserfool?!?
Sijawahi kuwa mnazi wa timu nyingine zaidi ya Man U (kwa Uingereza) toka niwe na akili za kibinadamu.
 
Back
Top Bottom