Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nasikia Chelsea wameshinda 2-1......

Namtafuta jirani yangu Peasant nimpe hongera yake.....

Na mimi nimesikia hivyo kuwa Chelsea 2 na West 1.....Pia nimesikia kutoka kwa jirani kuwa "Man U came from behind"....Jamaa Man U wanajitaidi sana..."they came from behind.....tehetehetehetehetehe. Leo nafuraha kweli.....Here we go; Arsenal 5 and Tottenham 2
 
Hongera gunnerz wote, matokeo ya leo mazuri sana! Japo sikuweza kuiangalia mechi yetu leo, naona kwa Chelsea, Man U, Everton, Newcastle wote kuchezea vichapo, w/end inakuwa tamu zaidi!!
 
Wakuu haya ni matokeo mazuri sana kwa kuzungatia kwamba majirani zetu nao wamepunguzwa kasi na Man U pia.

Sasa twawangoja Aston Villa na Everton ambazo ni mechi za ugenini.

Halafu mkuu mtoto wa mjini je unafahamu kwamba Antony Pilkington aliewafunga leo alikaa miezi 12 kwenye academy yenu wenyewe akijifunza mpira?

Man U wakifungwa hawa Arsenal haters hawasemi kitu lakini mpaka sasa timu hizi mbili zote zimepoteza mechi tatu kila mmoja.

Kwa kumnunua Santiago Cazorla tunamwamini Arsene Wenger, leo tena alikuwa mwiba na hata Arteta hakuwa na kazi sana ingawa alicheza akiwa bado ni majeruhi wa mishipa ya paja.

Jack Wilshere amethibitisha kwamba ni moto wa kuotea mbali.

Come on Arsenal!
 
Tuongee ukweli, arsenal hatuna DM,akina wilshere bado sana!
 
Mkuu, kuna sehemu umemfananisha William Malecela na Arsenal! Tutake radhi!!
sorry mkuu, ngoja nkaiedit. Ujue nilichanganya habari kwelikweli!!!! Me mwenyewe mshika bunduki toka damuni!!!! Ohh, nimeshindwa. Kumbe ile ya Le Mutuz ni closed topic!!!!
 
Nasikia Manure wameshinda 1-0......

Namtafuta jamaa yangu mtotowamjini nimpe hongera yake

:biggrin1: asante sana kwa sababu hata nyie pale carrow road mliwafungaga norwich goli 1-0 sio?

Mi hua nawaelezaga wenzangu huku kua sijali kufungwa game moja na kushinda zinazofuatia tano ndo mana tuko wa pili kwenye ligi..ni bora hiyo kuliko kufungwa mbili na kutoa draw mbili kama chelsea walivyofanya, hiyo ndio inauma zaidi..

week hii tuko champions league

arsenal chelsea man city mtakua mnaumana atakaefungwa wiki hii imekula kwao....sie aaaah wiki hii miguu juu na champagne tunaenda turkey na reserve team tufungwe tusifungwe sie miguu juuuuuuuuuu
 

haya wa wazee wa uefa..
 
Arsenal enjoying a "road-kill'' ..shocker/

Siku nyingi kweli mzee wa kushabikia timu za vichochoroni ... ... .. . .Ulimola.......kamwene .. .... ... ndaga fijo ... .... .... ... huwedi .. ... ... hujambo .... ... Gunners as usual the team inayowanyima usingizi ... .. . khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

 

Uwi uwi uwi uwi jamaa kaamka baada ya vidonge vya usingizi kwisha makali yake ... .. ... .. hivi mwaka jana mlicheza kwenye knock out? au ni kwa sababu mnataka kukimbilia kombe lenu channel 5 kama mwaka jana? Khe khe khe keh khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Once upon a time in September 2012:



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…