Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Walcooooooooooooott
vp mkuu inamaana tumeshapoteana uwanjani?
Arsenal 5-2 Spursnawaonea huruma sana asno maana watajutia hii nafasi..
usiwe na wasiwasi mkuu malengo ni nafasi ya nne(4)namsipokuwa makini itabaki stori..
Naona Sol Campbell anashangilia jukwaani
Together with TITI... NICE...
AVB hana kazi
Safi sana gooners
duh!kumbe na wao walikuwepo kuwaonda jinsi totenham wanavyokufa leo!kweli wanaipenda gunners
Wikendi sasa itaenda fresh.....