Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

kuna tofauti kubwa kati ya arsenal na MP na RM na MC, ni kama wachezaji wa arsenal wanapiga ndondo ivi
 
Andereicht 1-3 Milan...
*El shaarawy
*Mexes
*pato.
Milan are through... NB
Goli alilofunga beki wa Milan Philip Mexes kama
angelifunga Messi basi tungeambiwa Champions
League imekwisha na Barca ni mabingwa so
tusubiri michuano ya nxt season... Forza Milan.
wewe ndie Honey wangu ambaye watu
wananieleza mabaya yako weeeh lakini naishia
kuwajibu ''yatawashinda''.
Mimi na wewe mpaka ntakapotangulia
kusikojulikana. Nakupenda sana Darling, amini hilo.
 
Andereicht 1-3 Milan...
*El shaarawy
*Mexes
*pato.
Milan are through... NB
Goli alilofunga beki wa Milan Philip Mexes kama
angelifunga Messi basi tungeambiwa Champions
League imekwisha na Barca ni mabingwa so
tusubiri michuano ya nxt season... Forza Milan.
wewe ndie Honey wangu ambaye watu
wananieleza mabaya yako weeeh lakini naishia
kuwajibu ''yatawashinda''.
Mimi na wewe mpaka ntakapotangulia
kusikojulikana. Nakupenda sana Darling, amini hilo.
Hii thread ya Arsenal Mkuu umepotea au?
 
Hongereni wakuu kwa ushindi huu wa leo, bila shaka tunaweza kuongoza group baada ya mechi za mwisho. Hata hivyo cha muhimu ni qualification!!!
 
Bao la pod zuri sana

Kama kawa Pod na Giroud good combination, Jack really back and improving every match, bado kuna point 81 za kuwania ngoma bado mbichi kabisa hii naona Chelsick wameamua kuanza EPL rasmi na kocha mpya kuwania kutwaa taji ... .... .... Ooops 81 points, you can still win it .... ... ... ... even if you start now .. ... ... ... Wow thats what is good about EPL, the gelling at the Emirates is nearly complete.
 
Goli la Philip Mexes wa AC Milan ndio goli booora katika msimu huu wa Ligi barani ulaya...
Bishana kokote, ukiona unaelekea kushindwa nistue
Hapana......Hapa ni mahaba tu dhidi ya Rosoneri ndo yanakusukuma useme hivyo....

Nini ubora wa la Mexes?, kwa sababu ni la tik tak?....Kama goli la tik tak la Mexes ni bora Europe, vipi hili goli la Ibrahimovic alilofunga siku ya mechi ya Sweden na England?

 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom