Viper
JF-Expert Member
- Dec 21, 2007
- 3,666
- 1,406
Hawa jamaa washakuwa wetu, mwaka huu kama mwaka jana tumewachota tu, kama ni mwali basi huyu ni wa kwetu kweli kweli!!!!!
hahaha.. De Ja Vu ....
Hawa jamaa washakuwa wetu, mwaka huu kama mwaka jana tumewachota tu, kama ni mwali basi huyu ni wa kwetu kweli kweli!!!!!
mi bado nawatufuta wale wanaosema girold mayai!.... :madgrin: hawezi kufunga
Kumbe Wacha Moko ni Bra??? Nilikua siijui hii...anyway akija atajibu...
Hebu muulize huyu 'Noisy neighbour' umeipata wapi hiyo? Akamsalimie Baloteli kwanza kabla ya kuja kwenye hili jukwaa ambalo linaonewa gele na wanoko wa JF ... ... ... ..
BTW ... ... prof anaendelea kutoa dozi zile zile kwenye derby hana hiyana ... ... .. ..... ... more to come oooops you know where .. .. ... ... pengine Mungiki Brotherataruhusu picha zangu kama Chelsick watashinda .. .... ... .... lakini naona jahazi lao limeingia maji meerkatametoboa tundu kule nyuma ... ... khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee
:biggrin1: arsenal fans mnanichekesha sana..sasa mnafurahia kuwafunga wachezaji kumi uwanjani bao tano? yaani arsenal imeshajishusha kiasi hicho...hayo magoli mmeyafunga baada ya adebayor kutolewa kabla ya hapo mlikua 1-0 down...ade angekua uwanjani msingeshinda hilo game na nyie wenyewe mnajua

Kwani last season ilikuaje??? Chezea eeeh!!!!
:biggrin1: arsenal fans mnanichekesha sana..sasa mnafurahia kuwafunga wachezaji kumi uwanjani bao tano? yaani arsenal imeshajishusha kiasi hicho...hayo magoli mmeyafunga baada ya adebayor kutolewa kabla ya hapo mlikua 1-0 down...ade angekua uwanjani msingeshinda hilo game na nyie wenyewe mnajua
Haya bana,mjanja wewe uliyempiga chelsea akiwa pungufu kwa wachezaji wawili.:biggrin1: arsenal fans mnanichekesha sana..sasa mnafurahia kuwafunga wachezaji kumi uwanjani bao tano? yaani arsenal imeshajishusha kiasi hicho...hayo magoli mmeyafunga baada ya adebayor kutolewa kabla ya hapo mlikua 1-0 down...ade angekua uwanjani msingeshinda hilo game na nyie wenyewe mnajua
Mbona ninyi mliwashinda Chelsea wakiwa 9 uwanjani maneno ikawa mingiiiii......:biggrin1: arsenal fans mnanichekesha sana..sasa mnafurahia kuwafunga wachezaji kumi uwanjani bao tano? yaani arsenal imeshajishusha kiasi hicho...hayo magoli mmeyafunga baada ya adebayor kutolewa kabla ya hapo mlikua 1-0 down...ade angekua uwanjani msingeshinda hilo game na nyie wenyewe mnajua
Haya bana,mjanja wewe uliyempiga chelsea akiwa pungufu kwa wachezaji wawili.
umesahau kipindi cha kwanza tulikua tunaongoza magoli mawili dhidi ya chelsea na walikua wote 11 uwanjani...nyie wakati mko wote 11 uwanjani nani alikua anaongoza kwa goli :happy:
Mbona ninyi mliwashinda Chelsea wakiwa 9 uwanjani maneno ikawa mingiiiii......
Manure walikuwa wanaongoza! Mpira si unachezwa dakika 10 tu siku hizi kwa sheria za Mtotowamjini wa JF khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
nimeshajibu hili swala....ila siwalaumu nyie kufurahia hivi maana mngefungwa mngekuta saivi mko wa 12 kwenye ligi so angalau kidogo kale ka song kanakosema 'we want our arsenal back' hatukukasikia leo :happy:
niwaulize results zipi ni tamu zaidi 5-2 au 1-0/2-1?