Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

mkuu hii derby inamaana kubwa sana kwa king henry! namuona kaja uwanjani .. yupo nervous kinoma!...

umeona enheee full kunawa hewa anatamani awe yeye ndio anapewa pande na wakoti teo..
 
NGOJA Wenger amrufishe Ramsey kwenye first eleven yake

Tuombe mungu wachezaji wetu wapate moyo huko mbeleni
 
warcott bana ndio nini kujikosesha.. ingekuwa kariakoo derby angejuta..
 
Back
Top Bottom