Leo tunashinda.asno 1 - 1 spurs 25'
naona ross lloris kazi anayo..
Leo tunashinda.
thanks kwa update zako ingawa sio fan wa the gunners.
Adebayor alistaili kadi nyekundu or hakustahili?
kweli mkuu nimeami sasa kama unatoka katavi kweli..... Ht tushagonga tatu moja.. si nchezo tukaze buti tuwasijerudisha
ile ni red kwani aliinua miguu kwa intetion ya kumkanyaga prof kamzora (carzola)