mtotowamjini
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 4,525
- 1,177
Wacha fujo angalia mpira .. ... ..
:biggrin1: mnadefend kama kagera stars bora nibadilishe channel niangalie ajax wanavowanyuka man city vizuri :happy:
Wacha fujo angalia mpira .. ... ..
T5 kwa Manyu aliteleza leo Carz naye kateleza kuna umuhimu wa kubadili viatu nini?
Naona na nyie mnabebwa
Wameponea chupu chupu Theo anakosa bao last minute ... .... ... .... Diaby anakosekana pale kati mechi zote tulizocheza alipokuwepo hatukuwa tunafungwa kizembe namna hii ... ... ... .. anyways we will take one point ... ... ... ... . Jack jembe kweli kweli .. .. leo anaonekana ka-improve, mechi ya manyu alikuwa one pace behind leo kaongeza speed safi sana ... ..
Ndo matatizo ya vitu vya bei ndogo, wachezaji wa mafungu na viatu vya mafungu (hamsini kitu)
Unazi mwingine ovyo kabisa ndugu yangu uuache Cazorla is worth £16millions sikujua kama hizo pesa ni mafungu! Na TV5 nae mediocre? unamlinganisha na Evans na Ferdinand? Akyamungu
we unacheza weweee...defence nzima ya arsenal haiwezi kupata namba kwenye team ya man u, chelsea or man city, kwanza kwa kujifunga magoli nyie wenyewe hamjambo...juzi lile goli la bure mlilompa rvp lilisababishwa na nani? leo hii ingekua tunaruhusiwa kuchagua timu moja kucheza nayo kila wiki top 4 nzima ingechagua kucheza na goonerz
Kuna wakati huwa nahisi una Epilepsy! Hao akina Jones,smalling,rio,evans uwalinganishe kiuchezaji na Sagna,Kos,Tv5,per? Nina wasiwasi una kifafa cha ushabiki maandazi
Hapo hata mimi nakuunga mkonowe unacheza weweee...defence nzima ya arsenal haiwezi kupata namba kwenye team ya man u, chelsea or man city, kwanza kwa kujifunga magoli nyie wenyewe hamjambo...juzi lile goli la bure mlilompa rvp lilisababishwa na nani?z leo hii ingekua tunaruhusiwa kuchagua timu moja kucheza nayo kila wiki top 4 nzima ingechagua kucheza na gooner