Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Girold maninaa kama ana dive vilee .. safii utawapenda goners leo
 
Nasikia Peas of ants' wamepata Romnesia khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeee
 
Ile ilikuwa faulo au Carzola kateleza .. ... refa kawaachia .. .... ... stupid! Leo tunao tu hawa ... ... ... ... .Arsenal 2 up 1 down
 
T5 kwa Manyu aliteleza leo Carz naye kateleza kuna umuhimu wa kubadili viatu nini?
 
T5 kwa Manyu aliteleza leo Carz naye kateleza kuna umuhimu wa kubadili viatu nini?

:biggrin1: mnatakiwa mbadilishe wachezaji....wachezaji wenu wabovu ndio maana mpo hapo mlipo...eti mbadilishe viatu :biggrin1: unanifurahisha
 
Thats not a head injury damn it! Refa nwoga huyu anaogopa mashabiki ... ..
 
hapa ndipo nnapo mkumbuka mtu kama song..uwekano wa arsenal kufunga ni 30% kwa 70% za s4
 
Back
Top Bottom