Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Gunners leo walikwamishwa na mvua kipindi cha kwanza
ingawaje refa aliwapa all 50-50 wapinzani.... ..

a08_600x338_1595569a.jpg

GUNNER DO IT ... Lukas Podolski celebrates

a03_600x338_1595536a.jpg

DEADLOCK BROKEN ... Gervinho scores

ramsey_1595625a.jpg

RAMMED HOME ... Aaron Ramsey adds
undeserved gloss to the Gunners' victory

a04_600x338_1595535a.jpg

IVORY TOAST ... Gervinho celebrates his goal
 
mtotowamjini a comment from an arsenal fan

Three scorers from Arsenal, unlike a certain team which rides on the back of one player for goals whilst the rest of the team spend most of their time praying that he doesn't get injured.
ni li timu gani hilo analozungumzi hebu nisaidie
:madgrin:
 
mtotowamjini a comment from an arsenal fan

ni li timu gani hilo analozungumzi hebu nisaidie
:madgrin:

CHICHA, RAFAEL,KAGAWA,POWELL, SCHOLES, BUTTNER, RVP have all scored this season, so when you say we depend on one player sikuelewi, last season do you know how many players scored wa united? lemme ask you...toa magoli ya RVP last season mngemaliza wa ngapi kwenye ligi? msingekua mnacheza CL mwaka huu isingekua RVP na cha ajabu nyie ni fake fans hamko real kwa sababu mpaka leo hii WENGER anasemaga bado anamuangalia RVP akicheza na kinamuuma akimuona anafunga magoli kwa utd kwa sababu hua anasema RVP amevaa jezi ambayo si yenyewe meaning he should still be playing for arsenal, he wanted RVP to remain at arsenal, nyie washabiki feki hapa mnaanza kumponda...hamna hata aibu babu yenu mpaka leo hii anamsifia.
 
Hongereni sana wakuu kwa ushindi muhimu kwetu, nilishindwa kuicheki mechi kwakuwa nilikuwa on and off sababu ya afya!!!
 
CHICHA, RAFAEL,KAGAWA,POWELL, SCHOLES, BUTTNER, RVP have all scored this season, so when you say we depend on one player sikuelewi, last season do you know how many players scored wa united? lemme ask you...toa magoli ya RVP last season mngemaliza wa ngapi kwenye ligi? msingekua mnacheza CL mwaka huu isingekua RVP na cha ajabu nyie ni fake fans hamko real kwa sababu mpaka leo hii WENGER anasemaga bado anamuangalia RVP akicheza na kinamuuma akimuona anafunga magoli kwa utd kwa sababu hua anasema RVP amevaa jezi ambayo si yenyewe meaning he should still be playing for arsenal, he wanted RVP to remain at arsenal, nyie washabiki feki hapa mnaanza kumponda...hamna hata aibu babu yenu mpaka leo hii anamsifia.

Hahahaha :lol: !! Unajielezeeea, kwa taarifa yako Arsenal ndio ilikua timu yenye wafungaji wengi tofauti kwenye EPL lakini RVP scored most of them tukaitwa one-man team. Sasa hivi the same is happening to United. Hakuna utakachosema kitabadili huu ukweli. Toa magoli ya RVP alafu useme Man U itakua wapi kwa sasa. Una tatizo kama hilo hulioni!
 
CHICHA, RAFAEL,KAGAWA,POWELL, SCHOLES, BUTTNER, RVP have all scored this season, so when you say we depend on one player sikuelewi, last season do you know how many players scored wa united? lemme ask you...toa magoli ya RVP last season mngemaliza wa ngapi kwenye ligi? msingekua mnacheza CL mwaka huu isingekua RVP na cha ajabu nyie ni fake fans hamko real kwa sababu mpaka leo hii WENGER anasemaga bado anamuangalia RVP akicheza na kinamuuma akimuona anafunga magoli kwa utd kwa sababu hua anasema RVP amevaa jezi ambayo si yenyewe meaning he should still be playing for arsenal, he wanted RVP to remain at arsenal, nyie washabiki feki hapa mnaanza kumponda...hamna hata aibu babu yenu mpaka leo hii anamsifia.

Match yenu ya juzi UEFA nani kawabeba...😀
 
Tulimnunua RVP ili afunge na anafunga kwelikweli,hat trick yake ya pili ataifungia hapo Emirates
 
CHICHA, RAFAEL,KAGAWA,POWELL, SCHOLES, BUTTNER, RVP have all scored this season, so when you say we depend on one player sikuelewi, last season do you know how many players scored wa united? lemme ask you...toa magoli ya RVP last season mngemaliza wa ngapi kwenye ligi? msingekua mnacheza CL mwaka huu isingekua RVP na cha ajabu nyie ni fake fans hamko real kwa sababu mpaka leo hii WENGER anasemaga bado anamuangalia RVP akicheza na kinamuuma akimuona anafunga magoli kwa utd kwa sababu hua anasema RVP amevaa jezi ambayo si yenyewe meaning he should still be playing for arsenal, he wanted RVP to remain at arsenal, nyie washabiki feki hapa mnaanza kumponda...hamna hata aibu babu yenu mpaka leo hii anamsifia.
Let me tell you mi pal,sawa nakubaliana na wewe RVP banged 37 goals peke yake msimu uliopita na yale magoli yalitusaidia sana.Lakini RVP aliweza ku-bang goli zote zile kutokana na upendeleo na cheo alichopewa,pasi zote za mwisho za magoli zilikuwa zikimlenga yeye,jiulize alikuwa wapi RVP enzi za va va vu?,huyu gervinho alikuwa wapi enzi za RVP? Nakwambia kaka Gervinho atatupia sana mwaka huu japo sio lazima amfikie RVP idadi ya magoli.Kila timu inapokuwa na one clinical finisher,kaa ukijua kuna watu wengine wanakuwa na uwezo wao ila wanakua wanatembea chini ya kivuli cha mtu mmoja,huyo mtu akiondoka wataonekana tu kwenye daylight.Kwa hiyo kwetu sie,podolski,walcot,gervinho na siku si nyingi Giroud watafaa kuwa best finishers,I salute you in the name of the game.
 
Back
Top Bottom