Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Walcott anaingia badala ya A-O Chamberlain
Dakika ya 75
Arsenal 2-1 Olympiacos
Post yangu ya 8000 hii tangu nijiunge na JF.......Lol!
Hongera sana mkuu!!Dakika ya 75
Arsenal 2-1 Olympiacos
Post yangu ya 8000 hii tangu nijiunge na JF.......Lol!
Dakika ya 85
Arsenal 2-1 Olympiacos
Ajax 1-4 Real Madrid (Cristiano Ronaldo kapiga Hat trick ya 18 tangu ajiunge na Madrid)
Asante kamandaHongera sana mkuu!!
WamechomoaCity nao wameshapigwa kimoja mpaka mida hii!!