What is wrong with defense.. where is our big Germany
Sijui kwa nini Wenger hampi majukumu PerMkuu hii combination ya Kos na Vam inatukost, naona tumekoswa koswa hapo! Wajamaa wanajikanyaga sana
hawa jamaa hapa nyuma wajipange sawasawa vinginevyo tutapoteza hii game
Naona na kule kwenu hali bado ni tete!!
Hii kitu "Wenger Knows" inatucost sana. Tunammiss sana Per!Sijui kwa nini Wenger hampi majukumu Per
Kazi nzuri Gervinho
Arsenal 2-1 Olympiacos
Naona sasa hivi yuko vizuri....Anafungafunga sana na kutengeneza magoli....Gerv. huwa hatabiriki ila leo naona yupo fit sana