Questt
JF-Expert Member
- Oct 8, 2009
- 3,010
- 422
Hahahahaha yani mi nkuchumubie af ugomvi wetu muu discuss na mashosti zako??!
Utakuwa mke mbishi sana wewe uko mbeleni lol!
Sihami hapa mpaka charge iishe
wACHUmBA nyie...
Chonga ngenga mingi saana.... lakini Hatukimbii sisi ndo Gooners sio kama nyie mkipigwa wote huwa mnaingia chimbo.......