Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wachumba hamjambo??! Naona mshenga (man u) naye mambo mema kwao!
 
Congratulation! That's three points for you guys!.......hahahaha!
Pole jirani, naona unajaribu kujiliwaza kwa kuangalia historia...soon you will be on History Channel, just like mighty Loserfool.
 
Last edited by a moderator:
Congratulation! That's three points for you guys!.......hahahaha!Pole jirani, naona unajaribu kujiliwaza kwa kuangalia historia...soon you will be on History Channel, just like mighty Loserfool.
You got me wrong jirani......Nilitaka tu kumuonesha the so called Mentor kwamba in football lolote linawezekana, leo Chelsea anaweza kumfunga Arsenal na kuesho Arsenal anaweza kumfunga Chelsea, kwa sababu football siku zote ni game of chance na si maneno kama Mentor anavyodhani.......Ndio maana nikamuonesha huyo bwana kwamba ni siku chahce tu zilizopita Arsenal waliwafunga Chelsea goli 5 na juzi timu hizo zimekutana na Chelsea ikashinda 2.........Hata ushindi wa juzi wa Chelsea dhidi ya Arsenal ni History kama ilivyo kwa ule wa Arsenal wa goli 5 dhidi ya Chelsea........Waswahili wanasema Muosha huoshwa na Yaliyopita si ndwele........................

Halafu, ni vigezo vipi vinaifanya Man Utd ionekane ni the most successfull katika EPL, si ni History.......History ndo inaonesha mafanikio ya club/mtu......Ni kupitia History ndo tunaona Man Utd ni bora na yenye mafanikio kwenye EPL ikilinganishwa na Arsenal, Chelsea, Liverpool etc....Ni kupitia History ndio tunaona Arsenal ni bora na yenye mafanikio kwenye EPL ikilinganishwa na Chelsea, Man City, Tottenham Etc.........Pia ni kupitia History ndio tunaona Man Utd, Chelsea na Liverpool ni bora na zenye mafanikio kwenye UCL ikilinganishwa na vilabu vingine kama Arsenal, Tottenham, Man City etc..........

Ni hayo tu.....

Bala wa Arsenali.
 
Mkuu Bantalanda na wengine, hii ni mechi moja tu tumepoteza na si mbili wala tatu. Pia hatupo nyuma sana kwa points nyuma ya Chelsea 7 points Man City 3 points, kwahio tutakuwa na msimamo mzuri ifikapo December.

Arsenal jana imepoteza mechi ambayo kama Abou Diaby asingeumia na kutolewa mapema basi pengine kungekuwa na matokeo mengine.

Pili, jana nilishuhudia Wenger akifanya kosa lingine la kiufundi kwa kumpanga Vermaelen na Koscielny na kumuacha nje Mertesacker kosa ambalo ndilo limetucost 3 points.

Tokea mwanzo kwenye training Wenger anafahamu Mertesacker na Vermaelen ndio wanaelewana vizuri wawapo uwanjani na ukiangalia mechi zote amazo Arsenal haijapoteza hawa wawili ndio imekuwa ngome imara ya timu yetu.

Sasa jana anabadilisha eti tu kwasababu Koscielny alicheza vizuri kwenye mechi na Man City. Koscielny na Mertesacker hawawezi kucheza pamoja na nafikiri Wenger jana ameona hilo.

Kwahio kwa maoni Koscielyn inabidi aendelee kuwa cover kwa Vermaelen na acheze mechi ambazo si ngumu au afanyishwe mazoezi na Mertesacker mpaka wazoeane.

Vermaelen ni beki mshahara hasa na mara nyingi huwa anapiga kelele kwa mabeki wenzie na kuwakumbusha kukaba adui na humsikiliza na ndio kukawepo 5 clean sheets kabla ya jana, lakini si Mertesacker wala Kosciely ambae jana alikuwa akiamrisha wenzake na mipita ya Juan Mata yote ikazaa magoli.

Lakini tutajirudi kwenye ari ya kutafuta 12 points kwenye mechi zote za October tukianza kwanza na Olympiakoa kwenye CL Jumanne ijayo.

Mechi za Arsenal October

West Ham (A)

Norwich (A)

QPR (H)

Reading (A)
 
hata kama ningekuwa Wenger game ya jana ningewapanga Verma & Kosc kwa sababu Kosc alicheza vizuri sana dhidi ya City. Sababu nyingine ni kuwa fowards za Chelsea zina kasi sana unlike Per ambaye ni slow sana. Unfortunately Kosc had a terrible game last night. The game went beyond control when Wenger substutitued Ramsey and AOC forced to play as a deep-lying midfielder to give Theo chance to play as a right wing. Baada ya hapo we were throughly dominated in the middle of a pitch. Kwenye game lazima kuwe na makosa na uhakika Wenger atakuwa ameyaona na kuyafanyia kazi. After all we have a good squard compared to that of last season, tusikate tamaa...we still have many games to improve our weaknesses.
Once a gooner.....Always a gooner
 
Mkuu Richard nadhani unamaanisha Koscielny na Vermaelen. Mertesacker hajacheza jana, Koscielny na Vermaelen ndio walicheza. Mert na Kos walicheza na City and they played well. Kos na Verm ni kama Gerard na Lampard wakicheza pamoja uingereza, wote wazuri lakini combo yao haina matunda.

Kwa upande wa beki zetu, Mertesacker ana experience kuzidi wote. Anakaribia 100 caps for Germany. Kikubwa alichonacho yeye Per ni positional awareness na uwezo mkubwa wa kuusoma mchezo. Hicho kinamfanya am'complement centre back mwingine yeyote atakayecheza naye. His lack of pace kama anavyosema knownless is nothing kwa kuwa Per is always at the right place and at the right time. Mfano mzuri ni game ya City ambapo mtu kama Aguero na baadae Tevez walioneekana hawana madhara kwa kuwa Mertesacker alikua ana'intercept mipira mingi.

Baada ya kusema hayo. Wenger amegusia suala la rotation ni la lazima kwa kuwa msimu ni mrefu na mechi ni nyingi. Kwa upande wangu nadhani a healthy rotation should be between Kos na Verm (ingawa ni captain) lakini Per anastahili kucheza mechi nyingi zaidi yao kwa kuwa ana'offer kitu ambacho hawa wawili hawana. Height presence ya Per ni muhimu pia kuepuka kusumbuliwa na setpieces.

Let us focus on the next game in the Champions League na Norwich away kwenye EPL. We still have 96 points to play for, and bear in mind the squad will be getting better. Big things to come. Believe. COYG
 
Last edited by a moderator:
aweke afe siunaona katupia za kusawazisha chezea kichapo wewe..

Chacha mkuu picha zote tunazoweka kuna vijitu vinaweweseka si unaona New Era at the Emirates imefichwa kwa husda ..... usicheze na Gunners yupo Prof ametulia, yaani hana wasi wasi, anauza magalasa kama kawa, si unawakumbuka wachezaji wetu maarufu na bado tunafyatua vifaa .... .... ... kesho Jack atakuwepo rasmi kwenye under 21, macho ya wanoko yote yako hapo ngoja arudi mwana mtakiona cha mtema kuni, vitu anavyofanya Caz na Art akisaidiwa na Dia ni 25% tu.... ..... ...... ....

Wachumba hamjambo??! Naona mshenga (man u) naye mambo mema kwao!

Mtegemea cha nduguye hufa masikini, its only mafioso ndio kuna tabia ya kujikweza ati na wao wamo hata kina
choc ice etc ..... ..... .... Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Kumradhi kwa kuchelewa kufika mnusoni! What did I miss? Manywele wa Hasanali ni mchoyo (hat gemu la City alicheza hivyohivyo uchoyo sanaa na kukosesha wenziwe nafasi) baada ya kujipatia statz za goli akasinyaa!

Oxy ni kidume, kale kakijana nakaogopa, kanajua mpira na cross zake zote zilifika sawia na pamoja na kuwa ni moja ilizaa goli, nyinginezo wenzake walicheza nalenale.

20 za mwisho, gooners walionekana kuchoka sana chokambaya, nikajiuliza hawajifui kupiga kipute cha net productivity ya 65%? maana walikuwa productive at 80-90% kwa takriban 30% ya gemla!

Siye tumeshinda, na mpira ni magoli, lakini hatukuwa impressive na kutandaza mpira. Mipira ya pembeni kumtumia Brani na Ash tumeacha, Ramirez alionekana kama haelewi yupo wapi, Terry na Ash kuna uchochoro ghibande yao, Torres....mh...Hatafuti mpira na si tishio, ni heri tungeanza na Musa au Danieli ambao wanahaha kukukakara na wana uchu wa kufunga na hawana aibu au woga...

Any way, poleni Hasanali na mwambieni Wacha aache visingizio vya marefa!
 
Heshima yako mkuu, Wacha inabidi ashangilie time ya MADEMU tu,coz ndio wanaowapata raha tofauti na kina Manywele pasua kichwa. mwambie Wacha atoke vichakani hali imeisha kuwa shwari mtaani.
Read more: Arsenal Ladies win ninth straight league title | The Sun |Sport|Football
 
Mkuu Bantalanda na wengine, hii ni mechi moja tu tumepoteza na si mbili wala tatu. Pia hatupo nyuma sana kwa points nyuma ya Chelsea 7 points Man City 3 points, kwahio tutakuwa na msimamo mzuri ifikapo December.

Arsenal jana imepoteza mechi ambayo kama Abou Diaby asingeumia na kutolewa mapema basi pengine kungekuwa na matokeo mengine.

Pili, jana nilishuhudia Wenger akifanya kosa lingine la kiufundi kwa kumpanga Vermaelen na Koscielny na kumuacha nje Mertesacker kosa ambalo ndilo limetucost 3 points.

Tokea mwanzo kwenye training Wenger anafahamu Mertesacker na Vermaelen ndio wanaelewana vizuri wawapo uwanjani na ukiangalia mechi zote amazo Arsenal haijapoteza hawa wawili ndio imekuwa ngome imara ya timu yetu.

Sasa jana anabadilisha eti tu kwasababu Koscielny alicheza vizuri kwenye mechi na Man City. Koscielny na Mertesacker hawawezi kucheza pamoja na nafikiri Wenger jana ameona hilo.

Kwahio kwa maoni Koscielyn inabidi aendelee kuwa cover kwa Vermaelen na acheze mechi ambazo si ngumu au afanyishwe mazoezi na Mertesacker mpaka wazoeane.

Vermaelen ni beki mshahara hasa na mara nyingi huwa anapiga kelele kwa mabeki wenzie na kuwakumbusha kukaba adui na humsikiliza na ndio kukawepo 5 clean sheets kabla ya jana, lakini si Mertesacker wala Kosciely ambae jana alikuwa akiamrisha wenzake na mipita ya Juan Mata yote ikazaa magoli.

Lakini tutajirudi kwenye ari ya kutafuta 12 points kwenye mechi zote za October tukianza kwanza na Olympiakoa kwenye CL Jumanne ijayo.

Mechi za Arsenal October

West Ham (A)

Norwich (A)

QPR (H)

Reading (A)

ni bora kufungwa game moja alafu ushinde zingine tano kuliko eti uwe unbeaten alafu unatoa draw game tatu...hiyo ndio mbaya zaidi
 
Juzi umeona defense ya arsenal ilivyoachia magoli kirahisi... Kumbuka season sio game 5 ni game 38 mmeanza season vizuri basi gooners wote wakajua watashinda ligi... Calm ur skin down... Tusubiri mpaka dec ndo muongee
 
Hapana, tumeona defense ya United ilivyoachia magoli kizembe. Beki anasindikiza mfungaji. Na sasa hivi Fergie anataka kumrudisha Sylvestre awasaidie :lol:
 
Hapana, tumeona defense ya United ilivyoachia magoli kizembe. Beki anasindikiza mfungaji. Na sasa hivi Fergie anataka kumrudisha Sylvestre awasaidie :lol:

Juzi mngekua na defence nzuri msingejifunga goli na bado nguvu ya soda hiyo :biggrin1:
 
Back
Top Bottom