Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
Giroud mpira wa kupiga dongo mara kwanza anataka kuzunguka
Poa tu masela.turekebisha makosa madogo madogo.
Tusonge mbele.
Sio Poa kabisa mwana...... Basi tuu, Ni uzembe wa hali ya juu, tena kwenye BIG game like this One.....

Timu yetu nzuri sana,tunaitaji kujirekebisha kidogo sana
Sio Poa kabisa mwana...... Basi tuu, Ni uzembe wa hali ya juu, tena kwenye BIG game like this One.....
Acha kutuzingua na kizungu cha kukopa apa.....so it's all over and beaten but not defeated, we will be back!!