Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

***** Giroud..... unataka upate nafasi ya aina gani ndo ufunge???????
 
Kumbe wewe mgeni wa thread hii na ndio maana unakuwa na mashakamashaka.
Mkuu, mie siyo mgeni ila ua nakuja hapa nasoma coment zenu kisha nachanganya na zangu kichwani nakula chocho....Sasa timu yenyewe kama inashabikiwa na watu kama wakina Rejeo magamba kweli tunatimu hapa?
 
mshikachuma jamaa ni mdau mkuu wa gunners, akiwa humu yale mambo ya siasa hayaleti.
 
Last edited by a moderator:
huyu girold atakuja kuzoea lini .. dah! ilikuwa bao la pili!.. game nzuri.. tusubiri kipindi cha pili
 
Mkuu, mie siyo mgeni ila ua nakuja hapa nasoma coment zenu kisha nachanganya na zangu kichwani nakula chocho....Sasa timu yenyewe kama inashabikiwa na watu kama wakina Rejeo magamba kweli tunatimu hapa?

sasa mkuu siasa za nini..? tofauti zenu za kisiasa peleka jukwaa la siasa.. acha tu enjoy soccer
 
Back
Top Bottom