Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

mkuu we ni goner kweli.. Mbona kama plastic fan! ....
Mkuu, mie ni Arsenal lakini ushabiki wangu si wakinafki ule wa kujiumiza kila siku kwa presure za hii timu.
Hii timu imeshanitesa sana kisaikorojia kuliko unavyofikiria! lakini mwisho wa siku nikasema liwalo na liwe.
 
Back
Top Bottom