Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mannone, Jenks, Per, Vermaelen, Gibbs, Diaby, Arteta, Cazorla, Gervinho, Podolski, Giroud
Kikosi siyo kibaya, ila nina wasiwasi na hizo beki za pembeni.pia manone ni mtu wa kutema mipira sana. Inabidi back 4 wafanye kaz ya ziada kumcover.
 
Pt 3 muhimu leo, Bould lazima kahusika sana kuimarisha defence yetu.

Bado dk 20 na uchee tujue vijana wako vipi tena msimu huu
 
Wojciech aangalie!magolikipa wa benchi wakipewa chance huwa wanakamia sana,anaweza akageuziwa kibao.
 
Nice trial Podolski.....Mara kadhaa za dizaini hii laweza kuwa bao....
 
Diaby is Killing us!!! Flop... Flop...Flop.....Anapoteza mipira kirahisi saaana!!!!
 
uwepo wa gervinho na diaby ni matatizo na uzuri zaidi sub za wenger mpaka dk 70
 
half time 0-0 cjui kama tutafunga hata goli moja manake timu ipo dis organized mpaka naogopa
 
Game changers wanatakiwa kipindi cha pili with accurate passes. kumuumbua huyu Pulis
 
Possession mlima.... Magoli hakuna.. kama kawaida yetu....Mbele ni Cazorla na Podolski ndo wameonyesha uhai... Giroud bado.... Katikati Diaby anaua...Anaumiza na kuvunja moyo wenzie pia....Nyuma SAFI kabisa.... Lets see 2nd Half itakuaje!!!!!
 
tunaitaji kutulia na kufanya maamuzi haraka. Tuko poa tuna miss connection pale mbele. Watakuja kuzoena huko mbeleni.

Carzola jembe sana na naogopa wazushi watakuja na hela zao kuletta zengwe.
 
Back
Top Bottom