Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

jenkison bado sana! hata mawasiliano mazuri na theo... ila goli zipo kpindi cha pili
 
Hii 1st half tumecheza uzuri... Hawa jamaa bado hawajafahamiana vema....na bado kuna Introduction ya Wilshere in the near future.... So far so good... Great effort by carzola and it was a superb save from WS...Lets wt n c what will happen in the 2nd half!!!!
 
SONG amewasili Barcelona mida hii,tayari kwa medical,another player gone- Arsenal it seems are now a selling club
 
Bora huku Washika bunduki mna uhai na timu yenu kucheza vizuri, kule bwawa la maini bwawa limechafuka na maini naona yanaoza yote kuwa na michezaji kama Downing grrrrrr na Borini mtambo mwengine player ni Allen tu na asipokuja Dempsey basi nafasi ya 10 au daraja la kwanza mashetani ndio mshawauzia ubingwa ila ligi haitabiriki hii sio SPL au La Liga.
 
Bwawa la maini ngapi ngapi mpaka sasa?
 
Katika makocha wa timu ndogo wa ukweli ni Martin O'neil Timu yake imejaa golini sioni mwanya pale
 
OX should get in on our side....Anything wrong with him??????
 
Giroud???????????????????????????????????????????????????????????????????????
 
Back
Top Bottom