Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Si kweli unayosema...ni mtizao wako tu! Mchezaji akiwa ni injury prone haijalishi Umri Lets go back to history wachezaji kama Steven Gerrald,michael owen,Fowler,heskey,beckham,giggs,scholes,A cole,Lampard,Terry to mention few of them Wamecheza muda sana hapo kwenye Physical League Wameanza kuwa "vimeo vya majeraha" Baada ya kuzeeka

Rooney,Milner,Nz'obia,Cr7 wamekaa EPL muda na wakawa Injury Free hapo vipi?

Essien kaja ni dogo(japo huwa hawaaminiki umri wao) Kawa kijeba kawa anashinda na SICK SHEET,Carragher yaleyale...acha kudhani Tumeanza kutizama League mwaka 1999 kama wengi Man Utd Glory Hunters chelshit hao ndo usiseme toka Pesa za Oil zije pale 2003 kelele kibao

Namtetea Wenger 100% alijaribu kuwekeza kwa Vijana Japo amefeli..na Vijana hawapigani vya Kutosha na wanakuwa Easily persuaded to leave Tizama timu ambayo anatengeneza sasa ya watu wa 25+ Sagna,TV5,Koscienly,arteta,santos,per,Cazorla,Podoski,Giloud,arshavin & uncle Tomas rosicky

Arsenal ni club inaendeshwa kwa pato binafsi na kumbuka deni lilikuwa karibu £390 mil hapo angekuwa anafanya Crazy buy tungekuwa kama Glasgow Rangers(3rd division huko scotland) au AC MILAN sababu ya kuspend nje ya Uwezo, then ulitaka tubakie Tiny stadium Highbury?

Next year no more silly exodus kwa Sheria mpya za Financial fair play timu zinazotegemea Mwekezaji zitakoma kwa kuanzia pale Chelshit na Man city watakuwa wapole hao back to 2000's Arsenal and man u dominance

Kwa kifupi its a transitional period itaisha when we will be forced by Platini's rules to operate on Real world financial reality

You must be dreaming if you think FFP will have massive effect on day one. There are a lot of people in footy who are smarter than Platini....they're going to make a mockery of FFP and you will be left with egg on your face.
 
:biggrin1: sio kwamba naonekana ninajua ni kwamba ninajua.. Wilshere ananikumbusha abou diaby, na yeye hamalizagi game 3 yuko majeruhi..tatizo la policy ya kuaa na wachezaji wa dogo ndio hiyo kuumia kila wakati.. Sisi pia kuna dogo tom cleverley na yeye ka wilshere sema season hii kaanza fresh kidogo ndo maana fergie ananunua old players maana young players kama wilshere diaby na hata sisi akina smallin jones fabio da silva hawachezi zaidi ya game 10 wako nje premier lg ngumu its too physical for some players to handle

ndugu yangu RVP amekaa arsenal 8 yrs na ni msimu uliopita tu ndio hakupata majeruhi, tungelikuwa na mawazo yako angekuwa ametolewa muda mrefu na saa hizi musingemtaka!!
 
You must dreaming if you think FFP will have massive effect on day one. There are a lot of people in footy who are smarter than Platini....they're going to make a mockery of FFP and you will be left with egg on your face.

I agree with you 100% barcelona PSG man city chelsea they r all livin beyond their means na theres no way they will b banned frm playin in the champions lg coz without such teams champions lg itakufa
 
Mishahara ambayo inalipwa chelsea (to some few players na City) ni ulimwengu wa kwao

kaka deni la uwanja limebakia £90 mil yasemekana italipwa pole pole for next ten years

Wanaojua hali ndani ya board ya Arsenal watakwambia

yamewakuteni mpaka mmeenda IPO newyork stock exchange mpate mtaji, mafans wengi wa Man utd wa Uingereza hawampendi huyo Glazer kwa kuiingiza timu kwenye financial constraints

Its tru hata mimi the glazers family siwapendi coz we were doin ok before they bought the club.. Tungepata rich owner ka chelsea or city walivopata imagine tungekua wapi saivi.. Ila nachowapendea ni kua wana commercial team ambao ni brilliant.. Coz thanks to them we r the most profitable football club in the world
 
Si kweli unayosema...ni mtizao wako tu! Mchezaji akiwa ni injury prone haijalishi Umri Lets go back to history wachezaji kama Steven Gerrald,michael owen,Fowler,heskey,beckham,giggs,scholes,A cole,Lampard,Terry to mention few of them Wamecheza muda sana hapo kwenye Physical League Wameanza kuwa "vimeo vya majeraha" Baada ya kuzeeka

Rooney,Milner,Nz'obia,Cr7 wamekaa EPL muda na wakawa Injury Free hapo vipi?

Essien kaja ni dogo(japo huwa hawaaminiki umri wao) Kawa kijeba kawa anashinda na SICK SHEET,Carragher yaleyale...acha kudhani Tumeanza kutizama League mwaka 1999 kama wengi Man Utd Glory Hunters chelshit hao ndo usiseme toka Pesa za Oil zije pale 2003 kelele kibao

Namtetea Wenger 100% alijaribu kuwekeza kwa Vijana Japo amefeli..na Vijana hawapigani vya Kutosha na wanakuwa Easily persuaded to leave Tizama timu ambayo anatengeneza sasa ya watu wa 25+ Sagna,TV5,Koscienly,arteta,santos,per,Cazorla,Podoski,Giloud,arshavin & uncle Tomas rosicky

Arsenal ni club inaendeshwa kwa pato binafsi na kumbuka deni lilikuwa karibu £390 mil hapo angekuwa anafanya Crazy buy tungekuwa kama Glasgow Rangers(3rd division huko scotland) au AC MILAN sababu ya kuspend nje ya Uwezo, then ulitaka tubakie Tiny stadium Highbury?

Next year no more silly exodus kwa Sheria mpya za Financial fair play timu zinazotegemea Mwekezaji zitakoma kwa kuanzia pale Chelshit na Man city watakuwa wapole hao back to 2000's Arsenal and man u dominance

Kwa kifupi its a transitional period itaisha when we will be forced by Platini's rules to operate on Real world financial reality

Hivi arteta anafaa kua arsenal kweli? Arshavin? Wangeweza kupata namba kipindi kile cha kina henry pires viera ray parlour petit... That arsenal team hata mimi japokua nilikua ni utd damu bt nilikua naipenda.. Ikifika mechi ya utd na arsenal enzi zile ndio ulikua mpira keane vs viera... Arsenal ya sasa hivi mpaka arteta ambae kuna wakati alikua hapati game eveton leo ndio first team player wenu.

Hiyo FFP plattini alianzisha ili kuwakomoa waingereza na timu zao hasa baada ya kuona investors wanakimbilia uk kununua city chelsea liverpool sasa hivi wameingia na nyumbani kwake ufaransa wamenunua PSG hivi unafikiri platin ataangalia timu ya nyumbani kwake inafungiwa isicheze european football?? No chance
 
I agree with you 100% barcelona PSG man city chelsea they r all livin beyond their means na theres no way they will b banned frm playin in the champions lg coz without such teams champions lg itakufa
Si kweli kuwa CL itakufa kwani hawa Investors si Ameanzisha Roman Abramovich? Ni ni 2003 sasa Loophole ya kuchomokea it is Naming rights kama Etihad walivyonunua Jina Pale City of manchester Kwa £400mil,Arsenal na Emirates kwa £360mil mpaka 2018 na kuna taarifa Liverpool wanamtafta mwekezaji Anfield, Usije ukashangaa Stamford bridge ikaitwa Manji Stadium haaa haaaa haaa....ni mbinu za kuziokoa Timu ndogo ziweze kuleta ushindani ebu tizama La liga only Barca&Madrid ndo wana uwezo wa kupambana wengine wamekwisha timu ya 3 La liga iliachwa na 2nd position team kwa Point 30 ebu fikiria? USHINDANI vipi hapo?

Hata fergie ali hint kuhusu FFP baada ya Deal ya L.moura kuwa hijacked na Matajiri wa Paris

Mtotowamjini si kila kitu Unazi unazi
 
You must be dreaming if you think FFP will have massive effect on day one. There are a lot of people in footy who are smarter than Platini....they're going to make a mockery of FFP and you will be left with egg on your face.

we wa kwanza kuwa Smarter...kidonge kichungu kama korolokwini ila lazima Stamford bridge muibadilishe jina ndo msalimike
 
Hivi arteta anafaa kua arsenal kweli? Arshavin? Wangeweza kupata namba kipindi kile cha kina henry pires viera ray parlour petit... That arsenal team hata mimi japokua nilikua ni utd damu bt nilikua naipenda.. Ikifika mechi ya utd na arsenal enzi zile ndio ulikua mpira keane vs viera... Arsenal ya sasa hivi mpaka arteta ambae kuna wakati alikua hapati game eveton leo ndio first team player wenu.

Hiyo FFP plattini alianzisha ili kuwakomoa waingereza na timu zao hasa baada ya kuona investors wanakimbilia uk kununua city chelsea liverpool sasa hivi wameingia na nyumbani kwake ufaransa wamenunua PSG hivi unafikiri platin ataangalia timu ya nyumbani kwake inafungiwa isicheze european football?? No chance

Arshavin alinunuliwa akiwa worldclass Tena mbaya zaidi aliye sababisha ameflop ni wenger! Andrei si left winger ila ni 2nd striker

Arteta hakuwahi kukaa benchi everton so long as alikuwa Fit huwa unatizama Man utd peke yao nini?
 
we wa kwanza kuwa Smarter...kidonge kichungu kama korolokwini ila lazima Stamford bridge muibadilishe jina ndo msalimike

We're about to bid for Emirates stadium, tunajua ninyi ni selling club, mtauza kila kitu mwaka huu a
watabaki Kroenke na Ivan peke yao wafaidi matunda. hahahahahahaaa!!
 
:biggrin1: sio kwamba naonekana ninajua ni kwamba ninajua.. Wilshere ananikumbusha abou diaby, na yeye hamalizagi game 3 yuko majeruhi..tatizo la policy ya kuaa na wachezaji wa dogo ndio hiyo kuumia kila wakati.. Sisi pia kuna dogo tom cleverley na yeye ka wilshere sema season hii kaanza fresh kidogo ndo maana fergie ananunua old players maana young players kama wilshere diaby na hata sisi akina smallin jones fabio da silva hawachezi zaidi ya game 10 wako nje premier lg ngumu its too physical for some players to handle

Hakuna unalojua. Kabla ya kuumia Wilshere hakukosa mechi, na baada ya kuumia hajacheza mechi sasa sijui unamaanisha nini anaumia baada ya mechi 3?
 
We're about to bid for Emirates stadium, tunajua ninyi ni selling club, mtauza kila kitu mwaka huu a
watabaki Kroenke na Ivan peke yao wafaidi matunda. hahahahahahaaa!!

Arsenal ni club ya 5 kwa utajiri duniani, Chelsea isn't close. Alafu kamuulize Abramovic kuwa Usmanov ni nani. That will take you back to reality
 
Si kweli kuwa CL itakufa kwani hawa Investors si Ameanzisha Roman Abramovich? Ni ni 2003 sasa Loophole ya kuchomokea it is Naming rights kama Etihad walivyonunua Jina Pale City of manchester Kwa £400mil,Arsenal na Emirates kwa £360mil mpaka 2018 na kuna taarifa Liverpool wanamtafta mwekezaji Anfield, Usije ukashangaa Stamford bridge ikaitwa Manji Stadium haaa haaaa haaa....ni mbinu za kuziokoa Timu ndogo ziweze kuleta ushindani ebu tizama La liga only Barca&Madrid ndo wana uwezo wa kupambana wengine wamekwisha timu ya 3 La liga iliachwa na 2nd position team kwa Point 30 ebu fikiria? USHINDANI vipi hapo?

Hata fergie ali hint kuhusu FFP baada ya Deal ya L.moura kuwa hijacked na Matajiri wa Paris

Mtotowamjini si kila kitu Unazi unazi

If anything FFP itaumiza zaidi club ndogo kwa sababu FFP imekuwa designed kuishi ndani ya mapato unayopata. Sasa timu ndogo maana yake ni fan base ndogo, stadium ndogo na mapato pia ni kidogo sana ukilinganisha na cluba kubwa. Kwa jinsi FFP ilivyowekwa ni kwamba zile traditionally big clubs tu ndio zitakazofaidika kwa sababu mapato ni makubwa na hivyo bado zitaendelea kuchukua wachezaji kutoka club ndogo kwa sababu wanalipa vizuri zaidi.
 
Nategemea starting XI hii leo:

1. Szczesny
4. Mertasacker
5. Vermaelen (c)
25. Jenkinson
28. Gibbs

2. Diaby
8. Arteta
14. Walcott
19. Cazorla
27. Gervinho

9. Podolski

COYG
 
Arsenal ni club ya 5 kwa utajiri duniani, Chelsea isn't close. Alafu kamuulize Abramovic kuwa Usmanov ni nani. That will take you back to reality

Ninamjua vizuri sana Usmanov, lakini sioni huo utajiri wake na wenu unwasaidia nini? You've got to be the stingiest club in the world, yet you want everyone to behave like you. You can keep your title as the 5th rich if it makes you happy, I'm more concerned with trophy cabinet at The Bridge. I know, guys like you have been taken for a fool by your own club with the highest ticket prices in town but with nothing to show off for 7yrs and counting....you must be sick.
 
All Gunners supporters and fans, msimu ndio kwanza unaanza na naona watoto wakorofi tayari wamefunga uzi wa New Era at The Emirates kisa wivu. Huu uzi ulikuwa unapendwa na kuonekana na wengi lakini husda ya Chelsick wakisaidiwa na kuwadi wao mkuu wameamua kufunga sio neno. Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee wameacha matapishi yao hadharani. Wacha waweweseke kama meerkat.

Sunderland wapo Emirates mchana huu kwa ufunguzi rasmi siku ambayo ina joto la kukata na shoka huenda rekodi ya mwaka huu ikavunjwa kwa joto. Mambo ya Oly sasa ni hadithi.
 
article-2189966-1495F689000005DC-541_468x335.jpg

Prof kama kawa ametulia na Carl .... ....
 
Arsenal basically are fallin apart.. Hakuna mchezaji anataka kukaa pale tena washachoka na policy za kizee wenger.. Ningemshauri ajiuzulu amwachie mtu mwingine club huwezi kua manager wa club afu wachezaji wanakukimbia.. afu washabiki wa arsenal wanawalalamikia wachezaji wanao ondoka badala ya kumlalamikia wenger wajiulize kwann wachezaji hawakai arsenal kila mtu anakula kona?

Wacha utukutu wewe unafikiri Arsenal fans and supporters ni mafioso? Nyie mbona mlitaka kutoa roho ya mchezaji wenu Wacha ngebe kaka, there is no player who is bigger than the club. Let alone hatutegemea kununua ushindi tunashinda kwa sababu we deserve.

Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
If anything FFP itaumiza zaidi club ndogo kwa sababu FFP imekuwa designed kuishi ndani ya mapato unayopata. Sasa timu ndogo maana yake ni fan base ndogo, stadium ndogo na mapato pia ni kidogo sana ukilinganisha na cluba kubwa. Kwa jinsi FFP ilivyowekwa ni kwamba zile traditionally big clubs tu ndio zitakazofaidika kwa sababu mapato ni makubwa na hivyo bado zitaendelea kuchukua wachezaji kutoka club ndogo kwa sababu wanalipa vizuri zaidi.

Platini kama blatter ameamua kuruhusu timu ndogo nazo zijitutumue UCL na kumbuka huyu huyu amezipa nafasi timu za nchi ndogo za ulaya kama Latvia,Andorra,Lithuania,Luxemburg,Marcedonia,Cyprus

Unakumbuka Miaka ya nyuma pale Uingereza timu zilikuwa zinapambana kutwaa Ubingwa ni Arsenal na Man utd, na mwaka 1995 blackburn wakajitutumua sasa ivi wako wapi? Aston villa ya O'neil iko wapi? Akina Barry na Milner waliununuliwa kwa nguvu ya Mshahara Pale Etihad, Point ni kuwa wachezaji watapunguza kukimbilia timu wakale mshahara Mkubwa wakati timu ndogo zinakufa...Umenikumbusha Leeds United (semi finalist wa UCL mwaka 2001-akina Rio ferdinand,ian harte,Harry kewel,mark viduka,Dacourt,robinson,Matteo,milner,smith wako wapi? Unaikumbuka Middlesbrough ya Steve mclaren Ilifika Europa Final mwaka uliofuata wachezaji wakachukuliwa!

Manunuzi wasteful kama ya Shevchenko,Carrol,canta cruz,Adebayor,kaka pale R.madrid,Kezman,Downing,Hendersson yatapungua....na kama si Mpango wa sheria hizi nadhani Newcastle next season nao Exodus ingekuwa ni nusu ya Timu
 
Back
Top Bottom