Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

wadau kama kuna mwenye tetesi zaidi au taarifa kamili ziwe ni official or not zinazo mlink song na baca hebu tujuzeni kinachoendele coz inasemekana he's on the way to nou camp..
 
wadau kama kuna mwenye tetesi zaidi au taarifa kamili ziwe ni official or not zinazo mlink song na baca hebu tujuzeni kinachoendele coz inasemekana he's on the way to nou camp..

Mkuu,

Barca jana raisi wao alikuwa London kujaribu kuwashawishi Arsenal wakubali paundi milioni 12 lakini Arsenal hawako na wasiwasi kwani Song ana miaka mitatu kwenye mkataba.

Hata hivyo ameambiwa Barca watoe angalau kuanzia paundi milioni 18 ndio kitaeleweka na wanaweza kukaa mezani kuzungumzia jambo hilo.

Halafu pia Nicklas Bendtner huenda akawa mchezaji wa AC Milan baada ya timu hiyo kuonesha kutaka mchezaji huyo leo hii. Moja ya malengo ya Bendtner ni kucheza Champions League.

Ila deal la kumsajili mchezaji mturuki Nuri Sahin limekwama kwani Liverpool inaonekana wamefanikiwa kumpata mchezaji huyo kwani itakumbukwa kuwa Brendan Rodgers meneja wa Liverpool aliwahi kufanya kazi chini ya Jose Mourinho kwahio lilikuwa ni suala la contacts nzuri tu.
 
wadau kama kuna mwenye tetesi zaidi au taarifa kamili ziwe ni official or not zinazo mlink song na baca hebu tujuzeni kinachoendele coz inasemekana he's on the way to nou camp..

Song ameruhusiwa kwenda Barca kwa pound 15m lakini haijawa finalized, mazungumzo yanaendelea.
 
All this argument is pointless. Kila msimu, oh Arsenal itashuka daraja. Yet kila msimu inazidi ku-improve performance. So I suggest, tupunguze maneno, msimu unaanza keshokutwa. Itakapofika May mwakani ndo tutajua nani anasimama wapi. Ila kwa sasa naona mnapoteza nguvu.

P.S: Kuna jirani yangu wikiendi iliyopita kachapwa goal tatu mbichi hajapost chochote kule kwao. Leo habari za Arsenal ghafla katokelezea yuko busy kuquote na kureply. Dah!
 
Nimeipenda sana hii.............lol
hazarderp.gif

The new flop! Nilicheka sana siku ile
 
Viper aliuliza
Nasikia cozorla anaweza asicheze katika game yetu ya kwanza na black cats pale emarates sababu he will be on the other side of the world for international duty
Nikamjibu
Leo ndo mechi za kimataifa zinachezwa. So I believe jumamosi atakuwepo ila anaweza asianze. Let's wait and see
Na wewe ukaenda off topic
Atakua mchezaji wa utd by saturday afternoon...hilo msijali....kwa sababu akicheza na nyie mnaweza kutuumizia mchezaji wetu mtarajiwa :biggrin1:

Watu huwa wanafeli mitihani kwa kukurupuka. Hata hujui nini kinaongelewa mkuu, relax. Umaarufu utakuja tu, hauhitaji kuforce kingi
 
Rooney and Berbatov; Rooney and Tevez. These are the answers! .... Chinese saying, "In the cave, you can't have two tigers."

RVP STUKA!!!! IT WILL ALWAYS BE RONEY !
 
all this argument is pointless. Kila msimu, oh arsenal itashuka daraja. Yet kila msimu inazidi ku-improve performance. So i suggest, tupunguze maneno, msimu unaanza keshokutwa. Itakapofika may mwakani ndo tutajua nani anasimama wapi. Ila kwa sasa naona mnapoteza nguvu.

P.s: Kuna jirani yangu wikiendi iliyopita kachapwa goal tatu mbichi hajapost chochote kule kwao. Leo habari za arsenal ghafla katokelezea yuko busy kuquote na kureply. Dah!

hahahaha! Glory hunter yule! ....
 
Arsenal VS Sunderland

Likely lineup:

(1)Szcezny

(2)Sagna (5) Vermalean (4) Konscielny (3)Gibbs

(8)Arteta (6)Song

(7) Carzola

(11)Theo (9) Podolski

(10)Giroud

Bring on Sunderland ,

Comeon Arsenal!
 
Song ameruhusiwa kwenda Barca kwa pound 15m lakini haijawa finalized, mazungumzo yanaendelea.

Hii move ya RVP haijaniuma ila akiondoka song bila kupata replacement ... tutakuwa na bonge la gape! pengo litaonekana tu! sababu Le concelin bado damu changa! hawezi kuvaa viatu vya song!
 
Arsenal VS Sunderland

Likely lineup:

Szcezny

Sagna Vermalean Konscielny Gibbs

Arteta Song

Carzola

Theo Podolski

Giroud

Bring on Sunderland ,

Comeon Arsenal!

sagna yupo fit kwani..?! nadhani bado mgonjwa , arteta pia so tegemea diaby kuchukuwa nafasi ya arteta ..! alafu hawa black cats wamemdaka free agent SAHA na kumrambisha mkataba wa mwaka mmoja ... lol!
 
Sagna amepona na hayupo kwenye list ya majeruhi ila anaweza kurudi mwishoni mwa August, pia Arteta ameimarika na ni "injury free" kwa sasa kwahio midfield ya Arsenal ipo sawa.

Tulipocheza na FC Cologne Jumapili iliyopita Wenger alimjaribu kijana Nico Yennaris na baadae akaja Carl Jenkinson kwahio anaweza kuanza na mmoja wa hawa upande wa kulia.
 
Hii move ya RVP haijaniuma ila akiondoka song bila kupata replacement ... tutakuwa na bonge la gape! pengo litaonekana tu! sababu Le concelin bado damu changa! hawezi kuvaa viatu vya song!

Tetesi zinasema Song is acting very arrogant tangu Barca waanze kumtaka and he hasn't been in good terms with Wenger. Kwahiyo Wenger kaona isiwe tabu, otherwise the guy has a contract till 2015. I hope Wenger atanunua DM mwingine in the meantime Diaby na Arteta wakisaidiwa na Coquelin watacover.
 
I have also heard that Jack Wilshere has started running outdoors for the second week and is doing really well. Another thing is that, Jack wants the MIGHTY no. 10. Prince Poldi was also waiting for the same number. Now its interesting to know how Wenger will go about this!
 
It's called civil war!
 
Hii move ya RVP haijaniuma ila akiondoka song bila kupata replacement ... tutakuwa na bonge la gape! pengo litaonekana tu! sababu Le concelin bado damu changa! hawezi kuvaa viatu vya song!
Yah mkuu, mwache RVP aondoke but ile mashine SONG ibaki tu, kwanza magoli mengi ya RVP yalitengenezwa na Song!!!!
 
Wee unasema kwa kujifurahisha, kama uliangalia mechi yetu na Cologne wala usingekuwa nunasema haya, tulishinda goli 4 bila msaada wa nRVP aliingia na hakutoa pasi ya goli wala kufunga goli-sasa hivi gooners huwa ni historia tuna mtu anaitwa Podolsk in case umesahau!!

Unaanza kujisifu kuwafunga Cologne ,timu ambayo imeshuka daraja tena game ya pre-season.Subiri utakapokutana na Stoke au Swansea
 
Back
Top Bottom