Let us be realistic and Honest
Rvp kuondoka si ishu sana we are used to it ishu ni kwenda MANURE kwani hatujawauzia player since 1981
upande wa pili Arsene amefanya biashara nzuri kwani 2003 alimpata kwa £2.75mil pale fayenood na kamuuza £24 mil na tukumbuke he is 29yrz old+injury prone(plastic bones)+1 year remaing on the contract
yet hakuna season tulipoteza wachezaji bora kama mwaka 2005-2006 Vieira na Edu(free to valencia) still tukafika UCL final kitu ambacho hakuna aliyetegemea, mwaka jana Cesc na Na$ri waliondoka na tukayumba mechi 10 za mwanzo ila 3rd place tukaipata kuliko hata chelsea na Liverpool waliotumia pesa lukuki na bado wakawa nje ya UCL zone
Rvp ni mchezaji mzuri ila kwa Pesa aliyonunuliwa "ARSENAL WAMEULA" kwani jamaa hana Resale value pale hata akiflop au akaumia kama Wale double Owen..
Henry aliondoka 2007 still Adebayor akafunga goli 30 season iliyofuata then Hakuna cha kutukatisha tamaa wengine watastep na watafanya Vizuri
Mwakani kuanzia 2013 na kuendelea UEFA wata implement FINANCIAL FAIR PLAY rules timu italipa mishahara na Transfers kwa pesa za Ticket,jezi,wadhamini,mapato ya Television na Trophies+UCL hakuna pesa za mafuta tena hapo wala mkwanja wa Mifukoni...akina Flamoney,na$ri,greebayor...enzi zao zitaisha mishahara ya Kufru pale City,chelsea itatoka wapi?
CLUB ni kubwa kuliko mchezaji Kila la heri RVP ila suala la ambition ni Uongo umefuata Pesa za mshahara wa £220,000 kwa wiki kwani Tumesajili 3 world class players
La RVP limekwisha tuanze ligi Jumamosi bila kinyongo